Nimepata update ya android version ya 11 kwenye simu yangu

gijos

JF-Expert Member
Nov 12, 2017
1,167
1,770
Nimetumiwa update ya android version.yani nitoke 10 mpk 11.simu yangu ni samsung galaxy A20.naomba ushaur wadau ni update au niachane nayo kwanza?ina almost MB1728 hvi.
Screenshot_20210724-090137_Software%20update.jpg
 
Update maana yake ni kuimarisha,katka swala la ulinzi wa simu,data zako,ubora wa software na feature nyngne nyng ,hapo option labda iwe bundle lakin kinyume na hapi update ni lazima
 
Update ya simu ni kwa faida yako. Kama una bando la kutosha endelea. Mimi yangu nimeshafanya tayari.

Hivi simu za TECNO siku hivi huwa zina updates? Niliwahi kumiliki moja hakukuwa na mambo ya updates ya OS.
 
Mimi sikushauri,
Binafsi nilijuta, mpk nikauza simu.

BTW Simu zinatofautiana..
Yes updates simetimes zinakuja na majanga.

Mfano simu yangu the way ilivokuwa inakaa na charge kwenye Android 9 ni tofauti na ilivokuwa kwenye andoid 10 na ni tofauti na sasa ilivyo kwenye android 11.

Nafikiria tu kurudi android 10 kwa custom rom.
 
Yes updates simetimes zinakuja na majanga.

Mfano simu yangu the way ilivokuwa inakaa na charge kwenye Android 9 ni tofauti na ilivokuwa kwenye andoid 10 na ni tofauti na sasa ilivyo kwenye android 11.

Nafikiria tu kurudi android 10 kwa custom rom.
Aisee. Kweli kwenye chaji na mimi nimegundua hilo. Inaisha kwa haraka sana
 
Update tu ni njema kwa afya ya simu yako.

Mimi nili update Note 20 ultra yangu imekua bomba sana hadi nikaahirisha kwenda kununua S21 ultra.

Maana camera imekua poa sana, charge inakaa sana, kwa ujumla nilipo update January mwaka huu simu ilipendeza zaidi na kunifanya ni buy time kununua toleo jipya.
 
Back
Top Bottom