Nimepata tatizo la Kuharisha mfululizo naomba ufafanuzi

Kapepo

JF-Expert Member
Aug 14, 2015
1,063
1,188
Habari jf doctor,

Nimepatwa na tatizo la kuhara maji tangu jana usiku nineenda chooni zaidi ya mara saba, juzi kuna dawa za minyoo zentel nimekuwa nikitumia inabidi nimalize leo je naomba ushauri nini chanzo maana haijawahi tokea niaharishe mfululizo kiasi hiki pia tumbo kuuma kwa upanda wa chini.
 
Chukua majani ya mpera twanga kama juisi na maji kidogo unywe au yatafune meza mchuzi wake.. nakuhakikishia unapona ivi punde
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom