Nimepata pesa ya kuhonga

RASCO BOY

JF-Expert Member
Jul 29, 2018
428
485
Ukibet kwa Akili pesa ipo tatizo woga mbaya sana sasa hapa ningeweka 50,000 ningekamua 900,000 ila ukiliwa sasa unaweza kuonekana chizi ukatembea unaongea peke yako njia mzima....Kubeti ni zaidi ya kazi nani anabisha!.....?
Screenshot_20181101-005548.jpg
Screenshot_20181101-005554.jpg
 
Usihonge kanunue kitenge kizuri kabisa mtumie mama, atafurahi na atakubariki chenji endelea kubet....utahonga kiasi kidogo utaambulia msonyo wa chini chini
Daaa Aiseee umeona mbali sana kwa kweli
 
betting ni noma jamaa,ni sawa na mtu aliye kwenye duara,kuna cku nilikuta msg kwenye cm sikuamin,unaweza kupga hela ila usiwe na mawazo nayo,bet kisha sahau ,nilipanga mkeka nashangaa mkeke wa timu kibao unakubali wa timu chache unakataa na hela ishaingia,ukipga hela nyingi toa sadaka itakusaidia kulinda bahati zako.
 
Profesa Agnes uliyehudhuria kongamano la jana pale UDSM unamsikia huyu dogo??? ...tehtehtehtehtehtehteh
 
betting ni noma jamaa,ni sawa na mtu aliye kwenye duara,kuna cku nilikuta msg kwenye cm sikuamin,unaweza kupga hela ila usiwe na mawazo nayo,bet kisha sahau ,nilipanga mkeka nashangaa mkeke wa timu kibao unakubali wa timu chache unakataa na hela ishaingia,ukipga hela nyingi toa sadaka itakusaidia kulinda bahati zako.
Ulipiga ngapi aisee?
 
GEORGIA FIRST LEAGUE
Shevardeni - Dinamo Batumi
Tip 2 DNB (1.43)

SAUDI ARABIA PROFESSIONAL LEAGUE
Al Hilal - Al Ettifaq
Tip 1(1.45)

SLOVAKIA POHAR
Zilina - Sered
Tip 1(1.46)

ENGLAND FOOTBALL LEAGUE TROPHY
Barnsley - Everton U21
Tip 1(1.45) atakayefuata Uzi huu, kesho anitumie miatatu tu, ili iwe sadaka yake.
 
Back
Top Bottom