Nimepata mwanamke aliyenizidi umri

Avatar

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
11,127
11,904
Nimependana na mwanamke ambaye amenizidi kama miaka mitatu ivi

Mimi nina miaka 25 yeye ana miaka 29.

Ila tunapendana drop your comments please.
 
Vijana wa umri huu (20-28)...ndiyo mnaongoza kwa kuweka post za mapenzi humu..but at that age u suppose to be out of adolesence period..
umri ni kigezo kidogo sana kwenye relationshp!

ndo ivyo wazee si mpo kutupa mwanga
 
nimependana na mwanamke ambaye .............

Sasa kama mmesha pendana tukupe ushauri gani tena, tukisema hakufai tutakuwa tunaingilia mapenzi yenu!!
 
Umri ni sawasawa na urefu na ufupi mnatofautiana wakati wa kutembea tu lakini kwenye 6X6 mambo yana balance.
 
Nimependana na mwanamke
ambaye amenizidi kama miaka mitatu ivi, mi miaka 25 ye miaka 29... Ila
tunapendana drop your comment plz!

sio kwamba nawaonea wivu ila kaka umetisha. mm ni mdada ila sikushauriiiiii hakufaiiii raha ya mme kukuzidi umrii
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom