Sodoku
JF-Expert Member
- Feb 3, 2016
- 1,266
- 2,870
Nimeona niliseme hili kwa maana siku zote huwa nawaza na leo nikaona nishirikiane nanyi ndugu zangu. nimeoa muda sasa na nina watoto wawili.
Muujiza wangu ni kuwa Mimi ni mmoja kati ya wanaume wachache ambao wameona Wake wazuri na wenye Akili. Ni ngumu sana kukuta hivi vitu viwili wimeshikamana au ongozana kwa mwanamke. 1. Uzuri. 2. Akili. huwezi pata. ni Nadra sana kutokea. wengi wanakuwa wabaya yaani hawana mvuto sana ila wana akili na wengine asilimia kubwa unakuta ni mzuri au mrembo ila kichwani Empty kabisa. na hawa ndo asilimia kubwa sana.
Muujiza wangu ni kuwa nimepata vyote. mke mzuri, sexy,mrembo na ana akili sana. mpaka najiuliza nina bahati gani duniani?