Nimepata msiba.

Pole sana YNNAH ,yeye katangulia sisi tunafuatia. MUNGU awape faraja
 
Last edited by a moderator:
Pole sana YNNAH
Inallilahi wa inallilah rajiun!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mpendwa kwa msiba ulowapata...Mungu awape faraja.
 
Mwenyenzi MUNGU mwenye uweza kwa yote ampe pumziko la milele katika shamba lake Mama yetu Mkubwa!

Amen!
 
Habari zenu wapendwa, nasikitika kuwataarifu kuwa nimepata msiba wa mama yangu mkubwa. Amefariki jana jioni na tunatarajia kuzika leo saa kumi Muheza Tanga. Innalillah wainna illaih rajiuun

pole ndugu kwa msiba, muheza maeneo gani?
 
Pole sana, narudi Dar ILA sitaweza kupitia hapo...poleni sana.
 
Pumzika kwa Amani Mamkubwa Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe,, amen
 
Back
Top Bottom