Nimepata msiba wa Mama yangu mzazi

Pole sana Tete. Mungu awatie nguvu. Make her proud, do what would have made her proud. Be strong and courageous.
 
Pole sana, mwenyezi mungu ailaze roho ya mama mahali pema peponi, amen!
 
Dhuluma za aina hii utufanya tuhuzunike na kuogopa. Hali, tukiendelea kukumbana na haya
maovu, Mungu ambaye ndiye muumba wetu, anatuambia; “fanyeni kila kitu bila kunungunika,
ili mpate kuwa wana wa Mungu, katikati ya kizazi hiki kidhalimu na kigaidi, ambapo mnagaa​
kama taa kati yao – Wafilipi 2:14”.
 
Tete a tete, pole sana na msiba huu mkubwa uliowapata. It is really shocking, it is experience you wouldn't want to come to you. Pole sana na Mwenyezi Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu!
 
Pole sana mdau kwa hayo yaliyokupata, Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu kwako!

RIP Mama!
 
wana jfs nimefiwa na mama yangu mzazi leo kcmc bado nipo dar nataraji kuondoka kesho kuelekea moshi naomben sala zenu ktk kipindi hiki kigumu
my number 0719354556
pole sana sana,mungu akutie nguvu.uende na urudi salama.
 
Kwa sababu,wana JF tumefiwa na mama, matokeo ya uchaguzi wa nani Chief of threads/posts hayatatangazwa,hadi jumatatu jioni. Zoezi la kupiga kura linafungwa rasmi kuanzia dakika hii twendeni msibani. POLE WAFIWA,POLE WANA JF WOTE.
 
Pole sana ndugu tete. Mungu awape nguvu na ulizi katika safari ya kwenda kwenye msiba. Tunawaombea pia faraja wafiwa wote na Mungu ailaze roho ya mama yenu mpenzi mahali pema peponi.

Bwana ametoa, bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe milele, Amen.
 
pole sana mpendwa,nilichelewa kuona hii taarifa,mungu na akutie nguvu,tutakuwa pamoja ktk maombi!
 
Ndugu yangu pole sana kwa msiba huo. Hiyo ni kazi ya Mungu na jitahidi ukubaliane na hilo pengo alilokuachia. Nitakuwa pamoja nawe kwa dhati kiroho katika kipindi hiki chote hiki cha maombolezo.
 
Back
Top Bottom