Nimepata msiba wa Mama yangu mzazi

Wana jfs nimefiwa na mama yangu mzazi leo kcmc bado nipo dar nataraji kuondoka kesho kuelekea moshi naomben sala zenu ktk kipindi hiki kigumu
My number 0719354556
pole sana, mungu awapeni nguvu katika kipindi hiki kigumu.
 
asante sana mwalimu,nilitaka kuweka loh ya kusikitika,ikapitiliza,hata hivyo nadhani ulinielewa sikumaanisha kumcheka,asante tena kwa kunijulisha ukanumba wangu.
Sawa sawa mkuu tupo pamoja sisi sote ni binadamu na huwa tuakosea pia, si wewe peke yako!
 
Wana jfs nimefiwa na mama yangu mzazi leo kcmc bado nipo dar nataraji kuondoka kesho kuelekea moshi naomben sala zenu ktk kipindi hiki kigumu
My number 0719354556

Pole na msiba,Mwenyezi Mungu awe nawe katika wakati huu majonzi,Amen.
 
Pole sana, Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu, na pia nakutakia safari njema
 
Pole sana ndugu yangu,kazi ya Mungu haina makosa.Nikutakie safari njema.
 
jamani pole sana, Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu kwako!

May she rest in Peace!
 
Pole sana Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki cha majonzi, sisi sote ni wasafiri muda wetu ukifika tutapita njia hiyo hiyo. Nakutakia safari njema.
 
pole sana mpendwa, Mungu akutangulie katika kipindi hiki kigumu
 
Pole sana mwanajamii. Na Mola akupatie nguvu na ujasiri katika kukabiliana na haya yaliyokusibu.
 
ooh!POLE SANA.
RAHA YA MILELE APEWE MAMA,na mwanga wa milele umuangazie....!apumzike kwa amani-AAMEN

nakupigia shortly
 
Wana jfs nimefiwa na mama yangu mzazi leo kcmc bado nipo dar nataraji kuondoka kesho kuelekea moshi naomben sala zenu ktk kipindi hiki kigumu
My number 0719354556

Pole mkubwa.
Kazi ya Mungu haina makosa, Bwana ametoa na Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe. Amen
 
Pole sana mpendwa katika hiki kipindi kigumu na kizito kwako
Amani ya Bwana na faraja yake ikutangulie wewe pia familia yako yote mtiwe nguvu na ujasiri
Tuko pamoja kimaombi katika wakati huu wote
Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake libarikiwe
Amen
 
Nakupa pole sana kwa msiba uliokupata. Mungu wa amani akulinde na kukuongoza. ufike salama Moshi na akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu. Neema ya ke ikupe moyo mkuu. Bwana alitoa na Bwana wametwaa, Jina lake libarikiwe.
 
pole mkuu tete a tete, Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu cha majonzi wewe pamoja na ndugu zako wengine, RIP mama.
 
pole sana ndugu yetu, mungu akupe subira katika wakati huu mgumu.
 
Back
Top Bottom