Nimepata msiba wa baba yangu mdogo...

tete'a'tete

JF-Expert Member
Feb 10, 2010
472
62
[h=6]Jf Members Praise the Lord!

I suddenly loose my Father this morning, RIP baba mdogo. Ooh Lord Give me strength huu mwaka sijui kuna nini, Nahitaji maombi yenu sana kwa sababu nimechoka kabisa Huyu ni mzee wangu wa nne kutangulia mbele za haki tokea huu mwaka uanze. Kikao cha maandalizi kitafanyika pale Legho hotel Sinza kuanzia saa kumi na moja na nusu, naomba ushirikiano wenu wakuu. Mbarikiwe sana.[/h]
 
POle sana mkuu. Mungu akujalie nguvu za kuweza kukabiliana na majonzi makubwa yaliyokufika. namuombea pia marehemu awekwe mahali pema peponi, amen
 
Pole Mkuu, ndio maisha yalivyo, Mwenyezi Mungu akupe faraja katika kipindi hiki kigumu.

RIP Baba Mdogo.
 
Pole sana kiongozi wetu....Nadhani nyumbani ni Moshi, na huenda tutakuona!
 
Mungu alitoa, Mungu amechukua. Pole sana. Ninamuombea Baba Mdogo Malazi mema na Wewe na Familia yako Mungu awape subira na Nguvu ya kulikabili hili.
 
Pole sana...Mwenyezi Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya marehemu.....
 
Pole sana Mkuu ,mipango ya mungu siku zote haina makosa na tunapaswa kushukuru kwa kila jambo
RIP baba mdogo
 
Pole sana Mkuu, Mwenyezi Mungu awtie nguvu na awape ujasiri katika kipindi hiki kigumu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom