Nimepata mshutko baada ya kuambiwa ni nywele za maiti

wawake tuna taabu sisi! mara mikorogo, malimbwata, mawigi and the like.....

Yote haya kisa.....haya ndio dunia
 
wawake tuna taabu sisi! mara mikorogo, malimbwata, mawigi and the like.....

Yote haya kisa.....haya ndio dunia
wengine wanauza mpaka hiyo miili yenyewe, mimi nadhani uzuri ni ule wa asili,
sijawai kusikia kuna mtu anapenda mwanake mwenye wigs zuri ila kama una shape safi nimesikia sio manywele ya maiti BANA,
 
Inasikitisha sana na inatia aibu, hao wahindi na wazungu wanawadharau sana kutaka mjifananishe nao. loh mi nimeshuhudia black girl akipewa vipande na wazungu nilijisikia vibaya mno,walikuwa wanamwambia kuwa wewe. BE YOU.

Wanawake wavaao mawigi, na wale wanaojikoroga huwa hawajiamini uzuri wao wa asili.
 
Wanawake wavaao mawigi, na wale wanaojikoroga huwa hawajiamini uzuri wao wa asili.

nakupa thanks FAIZAFOXY..... mambo ya utandawizi bwana, wanawake na maendeleo eti WAMA. mnalo, hapo umesahau vichupi eti joto, lol lol lol kwishney​
 
umesema ukweli mkuu,

mkuu hiyo hapa sio kwamba ni siri, hicho kipindi ulichoona wewe alikuwa wanaelezea kwa upande huo na hawakugusia za binadamu,
dada zetu weusi wanakana kwamba hawazai nywele za wafu, lakini wazungu wanakiri na wanapokwenda kununu wanauliza kabisa kipi ni kipi,
sema maduka ya bongo sio wa kweli, ila huu ni uchafa.
Ubongo kutumika kama dawa ni issue tofauti, dawa ni uhai lakini pia ni dawa gani hizo zinazotumia ubongo, dawa nyingi sinatumia mimea hachani kutanganya watu, sanyasi ya tiba hiko mbali sana kwa sasa, kila kitu wanatengeneza maabara kwa maana nyingine hata mimea wanayotumi wanaiotesha kichemicaly kwenye mahabara,
kama kuna mtu anatumia hayo manywele basi ujua unatembea na maiti kichwa wala hakuna kuzoga hapa.

Product rating
redstar.jpg
redstar.jpg
redstar.jpg
redstar.jpg
redstar.jpg

These stick tip extensions are some of the finest available! They are a perfect choice for anyone who loves to add volume and length by applying extensions through micro and shrink rings.

And our stick tip extensions are only 100% human remy hair! Which means you can wash, curl, straighten and even dye them to suit your own look!

This single pack contains 50 strands. For a full head look we do recommend purchasing a minimum of 3 to 4 packs (that's 150 to 200 strands)

Item Specifications:
Number of pieces: 50
Length of hair extensions: 20" (50cm)
Weight of hair: 0.8 grams per strand: 40 grams total
Type of hair: 100% Remy Human Hair
 
mbaya zaidi nilishawahi sikia mawigi mengine yanatoka kuzimu.

Duh naomba ufafanuzi kidogo.

Bila kujali mawigi yanatoka wapi ukweli nikwamba kati ya mambo ya hovyo kuwahi kufanywa na wanawake wa kiafrika [Tanzania] nikuvaa mawigi ni aibu na kujishusha kupita maelezo.Wanawake wa kiafrika Mungu kawapendela sana kuanzaia ngozi,nywele hadi joto la mwili si masihara nawashangaa sana kwanini hamjiamini mkisuka nywele hakuna wa kuwafikia ebu achaneni na hayo mawigi.
 
ni kweli kuvaa wigi ni dalili ya kufulia kiurembo
na mwanaume anayetoka na mwananke mwenye wigi kama kamuoa basi ana mcheat
na kama ni mchumba huyo kaliwa
 
ni kweli kuvaa wigi ni dalili ya kufulia kiurembo
na mwanaume anayetoka na mwananke mwenye wigi kama kamuoa basi ana mcheat
na kama ni mchumba huyo kaliwa
Kweli wewe ni Vikwazo....mawigi na kucheat wapi na wapi?!
 
Kweli wewe ni Vikwazo....mawigi na kucheat wapi na wapi?!

hiyo ni kwa mujibu wa utafiti wangu lizzy
wewe vaa wigi kishachunguza mwenzi wako, hakuna mtu anayependa kutembea/uhusiano/mke TOY wakati wa ukweli wapo
fanya utafiti utagundua vikwazo noma
 
jamani,kuna wadada hawajajaaliwa nywele hata kidogo,wasipoweka hayo mawigi unashindwa kutofautisha mama mwenye nyumba na hgeli!give them a break,will u! kama nanyi mnavyoongezea confidence kwa kupiga pamba, nice shoes na cologne za hatari, nasi pia tuna mambo yetu.
 
Ni sawa tu wakuu, mbona hata waazungu huwa wanavaa mawigi?
Btw pure african mamas who likes themselves natural are more real;
MWANAMKE AKIWA NA AFRO, AKISUKA,AKIWEKA DREADS,AKINYOA KIPARA ANANIKOSHA SANA.
hayo ni maoni yangu.
 
jamani,kuna wadada hawajajaaliwa nywele hata kidogo,wasipoweka hayo mawigi unashindwa kutofautisha mama mwenye nyumba na hgeli!give them a break,will u! kama nanyi mnavyoongezea confidence kwa kupiga pamba, nice shoes na cologne za hatari, nasi pia tuna mambo yetu.

kwanza kwa nini ulete house gal anayekuzidi viwango bana , hiyo ni kukwazana tu
kwa kifupi wigi sio dili mimi siwezi kuongozana na toy,
nataka kama ni na KING'ASTI nijione na mimi najua kuchabua sio kununua majitu dukani harafu unataka twende sherehe wote
utaka sana home mimi nakwenda na vitu natural beuaty
 
BIBLE SAYS....KUJIPAMBA KWENU KUSIWE kwa kusuka na mavazi.....!
ONA SASA MNAVYOCHANGANYANA
 
hapana bana hapa naangalia documentary jamaa kawahonga ubwabwa familia yake ili wakubali kupigwa kipara awanyoe nywele akauze yatengenezwe hayo mawigi
kuinyoa nywele maiti nayo kazi wakuu maiti inaweza kukushika mkono ikakuuliza"weeeee unapeleka wapi afro yangu"?lazima uzimie kama hujafa kwa mshituko
 
aisee wahindi wengi(watoto kwa wakubwa) wanapigwa vipara hapa nimeamini hizo nywele si za maiti
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom