Nimepata mfadhaiko leo kwenye daladala

nashukuru mzima

JF-Expert Member
Jul 11, 2017
1,014
1,896
Mnaendeleaje na Majukumu wakubwa kiuhalisia Leo Nimekuwa Bored sana Maana Tangia nikiwa mdogo sio mtu mwenye kupenda kuvaa nguo za sare na Huo ndo udhaifu wangu.

Ilitokea Leo nilipanda daladala kabla sijaondoka nikajishauri ngoja nivae T shirt Moja Lenye Rangi ya Maroon alionipatia baby wangu kama zawadi.

Kilichonishtaabisha napanda gari la kuelekea Mbezi ndani ya gari watu wanne wote tumevaa Tshirt rangi ya maroon yaani nilipata mfadhaiko wa ghafla nikatamani hata nishuke gari na cha ajabu zaidi kuna jamaa mmoja alikuja kukaa siti moja na mimi.

Kiukweli sipendi kuvaa sare Maisha Yangu Yote!

Niambie nini Usichopenda Maishani!?
 
Sijui jinsia yako. Ila me sinaga noma kabisa..

images - 2021-02-27T205938.480.jpeg
 
Fulana hii duka moja mdogo wangu, utazunguka mjini hapa we inunue tu .. 😂😂😆😆😆
 
Hakuna kitu sipendi kama mtu kunipa pesa chafu yaani ile ina uchafu/ imezeeka. Iwe dukani, daladala/ mpesa/ staki mtu anipe pesa ilochafuka.
Hivyo basi mm ni ngumu kukuta nina pesa chafu.nikinunua kitu dukani namwambia mm nimekupa hela safi hakikisha unanirudishia safi kama hana sinunuwi hilo duka.

Napenda hela mpya tu/ au ile ambayo haina uchafu wowote.
Mpesa naendaga sehemu moja huyu ananijua ni maeneo ya kazini. Nikipita tu ananiambia kuwa leo ana hela mpya.

Nishajibizana sana na ma kondakta mm nampa hela mpya afu anirudishie iliyochoka? Aisee uwa namwambia hii siitaki. Na mara nyingi uwa nina chenji zangu staki kurudishiwa vi pesa vichafu.

Kama mtu namdai akanilipa hela chafu.fasta naipeleka mpesa. Na ninaonaga aibu kumpa mtu hela imechoka.

Nikipata zile mpya kabisa huwa natenga naweka ndani kwa ajili ya sadaka/ zaka etc. Hiyo siigusi 😅
 
Mnaendeleaje na Majukumu wakubwa kiuhalisia Leo Nimekuwa Bored sana Maana Tangia nikiwa mdogo sio mtu mwenye kupenda kuvaa nguo za sare na Huo ndo udhaifu wangu.

Ilitokea Leo nilipanda daladala kabla sijaondoka nikajishauri ngoja nivae T shirt Moja Lenye Rangi ya Maroon alionipatia baby wangu kama zawadi.

Kilichonishtaabisha napanda gari la kuelekea Mbezi ndani ya gari watu wanne wote tumevaa Tshirt rangi ya maroon yaani nilipata mfadhaiko wa ghafla nikatamani hata nishuke gari na cha ajabu zaidi kuna jamaa mmoja alikuja kukaa siti moja na mimi

Kiukweli sipendi kuvaa sare Maisha Yangu Yote..!

Niambie nini Usichopenda Maishani!?
jambo usilojua ni kua hao jamaa pia hizo t shirt walipewa na huyohuyo baby wako
 
Mnaendeleaje na Majukumu wakubwa kiuhalisia Leo Nimekuwa Bored sana Maana Tangia nikiwa mdogo sio mtu mwenye kupenda kuvaa nguo za sare na Huo ndo udhaifu wangu.

Ilitokea Leo nilipanda daladala kabla sijaondoka nikajishauri ngoja nivae T shirt Moja Lenye Rangi ya Maroon alionipatia baby wangu kama zawadi.

Kilichonishtaabisha napanda gari la kuelekea Mbezi ndani ya gari watu wanne wote tumevaa Tshirt rangi ya maroon yaani nilipata mfadhaiko wa ghafla nikatamani hata nishuke gari na cha ajabu zaidi kuna jamaa mmoja alikuja kukaa siti moja na mimi

Kiukweli sipendi kuvaa sare Maisha Yangu Yote..!

Niambie nini Usichopenda Maishani!?
hahahahahahaaha sio wewe tu mimi nina tabia nikiona mtu ana shati sawa na mimi huwa nalishusha thamani nafanya la kushindia
 
Mnaendeleaje na Majukumu wakubwa kiuhalisia Leo Nimekuwa Bored sana Maana Tangia nikiwa mdogo sio mtu mwenye kupenda kuvaa nguo za sare na Huo ndo udhaifu wangu.

Ilitokea Leo nilipanda daladala kabla sijaondoka nikajishauri ngoja nivae T shirt Moja Lenye Rangi ya Maroon alionipatia baby wangu kama zawadi.

Kilichonishtaabisha napanda gari la kuelekea Mbezi ndani ya gari watu wanne wote tumevaa Tshirt rangi ya maroon yaani nilipata mfadhaiko wa ghafla nikatamani hata nishuke gari na cha ajabu zaidi kuna jamaa mmoja alikuja kukaa siti moja na mimi

Kiukweli sipendi kuvaa sare Maisha Yangu Yote..!

Niambie nini Usichopenda Maishani!?
Sipendi Uzinzi.
 
Usiombe ununue T-shirt mliman city then uje ukutane na muuuza mbogamboga au wale wauza maji barabarani kalivaaa na yeye.

unaweza kudai pesa yako ulikolinunulia.
 
"Kiukweli sipendi kuvaa sare Maisha Yangu Yote..!"
Samahani mkuu primary na secondary umesomea hapa hapa nchini?
 
Hakuna kitu sipendi kama mtu kunipa pesa chafu yaani ile ina uchafu/ imezeeka. Iwe dukani, daladala/ mpesa/ staki mtu anipe pesa ilochafuka.
Hivyo basi mm ni ngumu kukuta nina pesa chafu.nikinunua kitu dukani namwambia mm nimekupa hela safi hakikisha unanirudishia safi kama hana sinunuwi hilo duka.

Napenda hela mpya tu/ au ile ambayo haina uchafu wowote.
Mpesa naendaga sehemu moja huyu ananijua ni maeneo ya kazini. Nikipita tu ananiambia kuwa leo ana hela mpya.

Nishajibizana sana na ma kondakta mm nampa hela mpya afu anirudishie iliyochoka? Aisee uwa namwambia hii siitaki. Na mara nyingi uwa nina chenji zangu staki kurudishiwa vi pesa vichafu.

Kama mtu namdai akanilipa hela chafu.fasta naipeleka mpesa. Na ninaonaga aibu kumpa mtu hela imechoka.

Nikipata zile mpya kabisa huwa natenga naweka ndani kwa ajili ya sadaka/ zaka etc. Hiyo siigusi 😅
Sadaka pambee
 
Haya mambo huwa tunapitia tunapokuwa watoto, na wewe naona ndio unayapitia sasa,ukikua utaacha
 
Watu wa mkoani Dar mnavaa sana midosho ndiyo maana unaweza kupishana na watu hata 10 na hawajuani ila wamevaa sare kama bendi ya maturumbeta.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom