Panzi Mbishi
JF-Expert Member
- Mar 8, 2021
- 2,051
- 2,666
- Thread starter
- #21
Kwani Pangusa inasababishwa na nini?
Kwani Pangusa inasababishwa na nini?
Ni moja ya STDsKwani Pangusa inasababishwa na nini?
Aiseee pole sana..dua zangu upate msaada na kuponaHapo nyuma nimeshinda sana hospitali kwa shida mbali mbali mpaka nimechoka, Mara niambiwe Pneumonia, Mara Amoeba wakati namaliza dozi ya mwisho ndio kidonda kinatokea sasa nimechoka kunywa dawa bila kujua natibu nini
Halafu usikariri intercourse au tuseme penetration ndio inaleta STDsHuwa natumia kinga siku zote
Ulienda hospitali kwa shida hii? kama sio neda tena ukawaone madoctor uwaoneshe kabisa.Hapo nyuma nimeshinda sana hospitali kwa shida mbali mbali mpaka nimechoka, Mara niambiwe Pneumonia, Mara Amoeba wakati namaliza dozi ya mwisho ndio kidonda kinatokea sasa nimechoka kunywa dawa bila kujua natibu nini
nunua pamba safi kwa ajili ya kunyonya majimaji wakati ukiendelea na harakat za matibabu
vaa suruali pana, nguo za ndan achana nazo kwanza.
hakikisha majimaji hayagusani na mfuko wa korodani(unaeza ukaweka kitambaa safi katikati ya uume na korodan)
epuka maeneo yenye joto mf kukaa jikoni (incase unajipikia)
baada ya kukojoa, tumia pamba kunyonya mkojo unaosalia around... Usiguse kdonda.
ondoa hofu coz n ugonjwa wa kawaida sana mkuu...
Aposti na picha?Wahi hospital kacheki, labda ni STD's
Nimekwenda hospitali sina gono wala kaswende wanasema ni fàngasiUmeuvagaa hiyo ni syphilis aka kaswede wahi choma cefriaxone injection
Sikwenda kwa shida hiyo, Nimefanya kama ulivyoshauri nimepata tibaUlienda hospitali kwa shida hii? kama sio neda tena ukawaone madoctor uwaoneshe kabisa.
Umu ndani hautopata ufumbuzi na usitumie dawa bila maelekezo ya matabibu.
Hapa pagumuacha umalaya
Mmhh labda uje pmHumu tuko ma dr wengi nikiwemo mimi, sasa umeshindwa nini kushika hicho kichwa ukakipiga picha ukaweka hapa tukaona kilivyo?
Wewe naona huna maumivu, humu tuna talk openly shauri yako.