Nimepata kidonda kwenye kichwa cha uume

Vesuvius

JF-Expert Member
Jun 27, 2021
572
1,000
Hapo nyuma nimeshinda sana hospitali kwa shida mbali mbali mpaka nimechoka, Mara niambiwe Pneumonia, Mara Amoeba wakati namaliza dozi ya mwisho ndio kidonda kinatokea sasa nimechoka kunywa dawa bila kujua natibu nini
Aiseee pole sana..dua zangu upate msaada na kupona
 

Yna aika

JF-Expert Member
Aug 29, 2017
294
1,000
Hapo nyuma nimeshinda sana hospitali kwa shida mbali mbali mpaka nimechoka, Mara niambiwe Pneumonia, Mara Amoeba wakati namaliza dozi ya mwisho ndio kidonda kinatokea sasa nimechoka kunywa dawa bila kujua natibu nini
Ulienda hospitali kwa shida hii? kama sio neda tena ukawaone madoctor uwaoneshe kabisa.
Umu ndani hautopata ufumbuzi na usitumie dawa bila maelekezo ya matabibu.
 

Miquel

JF-Expert Member
Jul 12, 2021
769
1,000
Aisee wahi hosp chapuuuuuu, hio mambo hainaga mchezo. Unavokawia itakula kichwa yote ikubakizie kitundu cha mkojo tu.

Alafu, maintain usafi wa hali ya juu sana coz hizo wounds hutoa majimaji mda wote.....
nunua pamba safi kwa ajili ya kunyonya majimaji wakati ukiendelea na harakat za matibabu
vaa suruali pana, nguo za ndan achana nazo kwanza.
hakikisha majimaji hayagusani na mfuko wa korodani(unaeza ukaweka kitambaa safi katikati ya uume na korodan)
epuka maeneo yenye joto mf kukaa jikoni (incase unajipikia)
baada ya kukojoa, tumia pamba kunyonya mkojo unaosalia around... Usiguse kdonda.
ondoa hofu coz n ugonjwa wa kawaida sana mkuu...

Cha msingi fanya kwenda hosp ukadungwe sindano zako chapchap
 

longola

Member
Oct 15, 2015
84
150
mkuu una dalili za STDs ulikula mbovu.. fanya upime vizuri kabla hujawa na hali mbaya. Kwasababu hali yako itakua mbaya sana ukipuuzia.. hio mashine hutotaka kuiangalia mara 2.

Kuhusu Kinga kuna magonjwa mengine ya StDs hata majimaji tuu yakikunyaka kidogo infection unapata
 

Panzi Mbishi

Senior Member
Mar 8, 2021
143
250
Ulienda hospitali kwa shida hii? kama sio neda tena ukawaone madoctor uwaoneshe kabisa.
Umu ndani hautopata ufumbuzi na usitumie dawa bila maelekezo ya matabibu.
Sikwenda kwa shida hiyo, Nimefanya kama ulivyoshauri nimepata tiba
 

luckyline

JF-Expert Member
Aug 29, 2014
12,621
2,000
Humu tuko ma dr wengi nikiwemo mimi, sasa umeshindwa nini kushika hicho kichwa ukakipiga picha ukaweka hapa tukaona kilivyo?

Wewe naona huna maumivu, humu tuna talk openly shauri yako.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom