MENISON
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 726
- 622
Mm niligraduate mwaka jana koz ya uhandisi ,kwa bahati nikaajiriwa na kampuni moja ya networking,salary ilikua 800 tu takehome
Sasa baada ya miezi minne tu kuna shule moja maarufu hapa tz nikapata kazi ya kufundsha kwa salary ya 2.5M zaidi ya maratatu ya kule .Naona kama nimekosea kz wenzangu wengi ni graduate wa education .
Nataka kujua risk za kuacha field uliyosomea