Nimepata kazi lakini mshahara ni mdogo mno

Aisee bro acha utani na maisha Unaweza fungiwa ridhiki kwa sababu huna shukrani.
Mfano hai Mimi ni fresh graduate wa fani ya I.T kutoka chuo Z Kama wewe nilipata dili kuwa security officer (mlinzi) mshahara take home Tzs 320,000/= sikufikiria Mara mbili aisee najua life la mtaa kazi kweli ni risk Ila hakuna ni kazi ngumu lakini ndo inapay bills ukizingatia na katoto ka kike.

As a matter of fact bro "Sometimes we need to put aside our Academic qualifications because your paper degree certificate doesn't pay bills".
 
I felt it bruh 🤝
 
Habarini humu ndani

Kama nimekosea jukwaa mtanisamehe. Mimi ni fresh graduate. Nimemaliza chuo mwaka jana. Katika mishe za kutafuta kazi nimehangaika sana. Nime apply sehemu kama 10+ hakuna hata moja nilioitwa interview.

Basi hivi karibuni kuna dada alinielekeza mahali akaniambia hiyo sehemu kazi zipo ila wanalipa hela kidogo sana nenda pale muulizie flani huyo ndo anaajiri hapo.. Nikaenda kupeleka documents zangu hata hakufungua yule jamaa. Baada ya kuuliza chuo nlichosoma basi akaniuliza unataka mshahara wa shillingi ngapi. I asked how much do you offer akasema Tsh 600,000 kiwango ambacho ni kidogo zaidi ya salary scale ya serikali (tsh 980,000) Kwa kua sijui ni uoga au ni desperation basi nikakubali. Akaniambia baada ya kuweka mambo yangu sawa nirudi.

Baada ya kutoka pale nilikua nimefurahi sana finally nimepata kazi lakini kila nikifikiria sina amani. I feel stupid. Nimeongea na rafiki yangu ameniambia yeye kapata kazi analipwa 1.5M hapo ndo nimechangamyikiwa kabisa. Nafikiria sijui nipotezee nisirudi pale. Sielewi cha kufanya. Kazi nataka lakini pesa ndogo. Sijui nifanye nini.
Fanya tu hyo Kazi.....kupata Kazi ni Kazi sana

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom