Mwana Ukoo
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 252
- 422
Wakuu nimepata kazi katika NGO fulani ambayo Roughly nitakunja kama 1m hivi take home niko around 20s age. Sitegemewi na familia maana bado wana kazi, nilisoma uzi fulani wa kijana mwenzangu ambaye alipata kazi katika umri mdogo tu na kujikuta anatumbukia kwenye starehe sitaki kufanya makosa
Wakuu nipe ushauri nifanye nini katika miaka mitano ambapo plan zangu ni kuacha kazi baada ya miaka kumi, makaka, Mababa, baba na mama nishaurini Nianzie wapi mdogo wenu sina ushamba kiivo na starehe nina exposure kimtindo
Mlionitangulia nahitaji kujifunza kupitia nyinyi