walitola
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 4,796
- 5,520
Kuna status ya member mmoja inasema.. nanukuu..Oa...mkuu.upate kutulizana
Wakuu nimepata kazi katika NGO fulani ambayo Roughly nitakunja kama 1m hivi take home niko around 20s age. Sitegemewi na familia maana bado wana kazi, nilisoma uzi fulani wa kijana mwenzangu ambaye alipata kazi katika umri mdogo tu na kujikuta anatumbukia kwenye starehe sitaki kufanya makosa
Wakuu nipe ushauri nifanye nini katika miaka mitano ambapo plan zangu ni kuacha kazi baada ya miaka kumi, makaka, Mababa, baba na mama nishaurini Nianzie wapi mdogo wenu sina ushamba kiivo na starehe nina exposure kimtindo
Mlionitangulia nahitaji kujifunza kupitia nyinyi
Hawa vijana wamekuwaje hawana maono hivi, wewe ni hasara kwa taifa, yani kupata 1m ndo unadhani umemiliki dunia sasa ungekuwa dola 2000 si ungevua nguo WTF.
Unamaanisha wakala wa pesa za simu au?Kabla ya kujenga nyumba au kuingia kwenye ndoa, hakikisha umeanzisha biashara zako binafs angalau mbili mfano wakala n.k.
Kwake ni nyingi mkuu, hatufanani viwango na hali za kimaisha1m unaona hela we mjing.a kweli
Focus kwenye kutunza pesa kwa sasa na ujifunze namna ya kuja kutengeneza vyanzo vingine vya mapato tofaut na kazi unayofanya. Business opportunities ni nyingi mno, binafsi niliajiriwa, worked for five years and left, sasa hivi nafanya shughul zangu mwenyewe. All the bestWakuu nimepata kazi katika NGO fulani ambayo Roughly nitakunja kama 1m hivi take home niko around 20s age. Sitegemewi na familia maana bado wana kazi, nilisoma uzi fulani wa kijana mwenzangu ambaye alipata kazi katika umri mdogo tu na kujikuta anatumbukia kwenye starehe sitaki kufanya makosa
Wakuu nipe ushauri nifanye nini katika miaka mitano ambapo plan zangu ni kuacha kazi baada ya miaka kumi, makaka, Mababa, baba na mama nishaurini Nianzie wapi mdogo wenu sina ushamba kiivo na starehe nina exposure kimtindo
Mlionitangulia nahitaji kujifunza kupitia nyinyi
Jitahidi kusave kila mwezi, atlist 500,000, baada ya muda fulani utakua na pesa ya kutosha ununue kiwanja ujenge mjengo wa maana, baada ya hapo nunua kausafiri kako, by the time unafika 35 umeshajitegemea kwa kila kitu unavuta demu wa maana mwenye msambwanda wa kutosha unajikia taratibu unaanzosha familiaWakuu nimepata kazi katika NGO fulani ambayo Roughly nitakunja kama 1m hivi take home niko around 20s age. Sitegemewi na familia maana bado wana kazi, nilisoma uzi fulani wa kijana mwenzangu ambaye alipata kazi katika umri mdogo tu na kujikuta anatumbukia kwenye starehe sitaki kufanya makosa
Wakuu nipe ushauri nifanye nini katika miaka mitano ambapo plan zangu ni kuacha kazi baada ya miaka kumi, makaka, Mababa, baba na mama nishaurini Nianzie wapi mdogo wenu sina ushamba kiivo na starehe nina exposure kimtindo
Mlionitangulia nahitaji kujifunza kupitia nyinyi
Yap yap, ukiongezea na wakala wa banks
Tumia ht akili kdg Mkuu1m unaona hela we mjing.a kweli
Baba, mbona kama wewe ndio unao msongo? Hebu soma tena uzi umuelewe dogo, umsaidie.Haya ndo madhara makubwa aliyoyafanya meko vijana wadogo tayari washachanganyikiwa, na kutokana na kukosa kazi vijana wanakuwa na msongo wa mawazo, kijana tafuta kazi yoyote ile hata kubeba mizigo Kariakoo pale.
Achana na hizi ndoto zako za JF.
Starehe haikuzuii kuwa na maendeleoWakuu nimepata kazi katika NGO fulani ambayo Roughly nitakunja kama 1m hivi take home niko around 20s age. Sitegemewi na familia maana bado wana kazi, nilisoma uzi fulani wa kijana mwenzangu ambaye alipata kazi katika umri mdogo tu na kujikuta anatumbukia kwenye starehe sitaki kufanya makosa
Wakuu nipe ushauri nifanye nini katika miaka mitano ambapo plan zangu ni kuacha kazi baada ya miaka kumi, makaka, Mababa, baba na mama nishaurini Nianzie wapi mdogo wenu sina ushamba kiivo na starehe nina exposure kimtindo
Mlionitangulia nahitaji kujifunza kupitia nyinyi
😂😂😂What's going on....