Nimepata kamtaji kadogo kwa kudunduliza dunduliza nkawaza kufungua duka la nafaka

nsasa

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
310
413
Habar za leo wanafamilia ya jamii forums

Nimepata kamtaji kadogo kwa kudunduliza dunduliza nkawaza kufungua duka la nafaka.... nimepata sehem hapa hapa dareslam ila nahitaji kupata connection ya sehem ambako naweza pata mzigo (mchele, mahindi, maharage, na nafaka nyingne) kwa bei nzuri ya jumla ili na mm niuze nipatamo kafaida!!

Please nisaidien mdogo wenu
 
Duh! We jamaa ni noma?

Upo kundi moja whatsapp na wafanya biashara wa nafaka tz umetuma ombi lako na watu wamerespond, zile nafaka zao ushamaliza au hapa ni hbr za kupotezeana muda?
 
Una uhakika n mimi!?
 
Duh! We jamaa ni noma?

Upo kundi moja whatsapp na wafanya biashara wa nafaka tz umetuma ombi lako na watu wamerespond, zile nafaka zao ushamaliza au hapa ni hbr za kupotezeana muda?
Hakuna ubaya wa kupata information tena na tena..., hapa ndio utapima huenda kule alipata kwa bei kubwa huku akapata ndogo.., au kule kuna matapeli bei unrealistic hapa atapima..., elimu / kujifunza hakuna mwisho
 
Duh! We jamaa ni noma?

Upo kundi moja whatsapp na wafanya biashara wa nafaka tz umetuma ombi lako na watu wamerespond, zile nafaka zao ushamaliza au hapa ni hbr za kupotezeana muda?
Pengine anahitaji ushauri zaidi ili aone wapi bora zaidi kwake
 
Habar za leo wanafamilia ya jamii forums

Nimepata kamtaji kadogo kwa kudunduliza dunduliza nkawaza kufungua duka la nafaka.... nimepata sehem hapa hapa dareslam ila nahitaji kupata connection ya sehem ambako naweza pata mzigo (mchele, mahindi, maharage, na nafaka nyingne) kwa bei nzuri ya jumla ili na mm niuze nipatamo kafaida!!

Please nisaidien mdogo wenu
Kamtaji kadogo kisha unataka kununua bei ya jumla! Haya bwana.
 
Duh! We jamaa ni noma?

Upo kundi moja whatsapp na wafanya biashara wa nafaka tz umetuma ombi lako na watu wamerespond, zile nafaka zao ushamaliza au hapa ni hbr za kupotezeana muda?
Tuwekeeni link ya hilo group nasi tuingie huko tupate mawili matatu ya biashara ya nafaka.
 
Kwenye research hutakiwi kuchagua taarifa usimvunje moyo mkuu tena ikibid ukitoka hapa uende masokoni ukajionee mwenyewe

Back
Top Bottom