mzee wa njaa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2011
- 1,366
- 223
Habari hizi nimepigiwa simu na mtu wa karibu naye.......Amefariki akiwa tegeta jijini Dar es Salaam taarifa zaidi tutawaletea.
Kwani ni nani huyu? Na ana maslahi gani kwa taifa hadi iwe mhimu kujua habari za kifo chake? Kama ni rafiki yako, sema tu kwamba umefiwa ili tukupe pole
Ni mchezaji aliyewahi kuichezea Yanga na kuliwakilisha taifa lake huko siku za nyuma, R.I.P KabundaKwani ni nani huyu? Na ana maslahi gani kwa taifa hadi iwe mhimu kujua habari za kifo chake? Kama ni rafiki yako, sema tu kwamba umefiwa ili tukupe pole
Acha kukurupuka wewe kwani wote wanaotangazwa kuwa wamekufa hapa jukwaani wana umuhimu kwa taifa ,kwa taarufa yako Marehemu Salumu Kabunda umuhimu wake ni mkubwa kwa taifa hasa katika nyanja za kabumbu la nchi hii,RIP Ninja ulikuwa beki shupavu tofauti na mabeki wetu wa sasa ambao kwao ukakamavu ni msamiatiKwani ni nani huyu? Na ana maslahi gani kwa taifa hadi iwe mhimu kujua habari za kifo chake? Kama ni rafiki yako, sema tu kwamba umefiwa ili tukupe pole
Kwani ni nani huyu? Na ana maslahi gani kwa taifa hadi iwe mhimu kujua habari za kifo chake? Kama ni rafiki yako, sema tu kwamba umefiwa ili tukupe pole
ninja miaka ya 90 aliongoza kakakuona kwenye kombe la chalenji ikafika fainali.wasiomjua kabunda ni under 20. R.i.p ribelo wa kimataifa.
Kwani ni nani huyu? Na ana maslahi gani kwa taifa hadi iwe mhimu kujua habari za kifo chake? Kama ni rafiki yako, sema tu kwamba umefiwa ili tukupe pole
Salumu Kabunda aka Ninja atakumbukwa kwa mchango wake mkubwa katika medani ya soka. Poleni familia yake na wanamichezo wote hususani wanachama na wapenzi wa Dar Young African.Acha kukurupuka wewe kwani wote wanaotangazwa kuwa wamekufa hapa jukwaani wana umuhimu kwa taifa ,kwa taarufa yako Marehemu Salumu Kabunda umuhimu wake ni mkubwa kwa taifa hasa katika nyanja za kabumbu la nchi hii,RIP Ninja ulikuwa beki shupavu tofauti na mabeki wetu wa sasa ambao kwao ukakamavu ni msamiati