Nimepata division one ya 11


M

moesy

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2018
Messages
992
Points
1,000
M

moesy

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2018
992 1,000
Nimekufatilia jinsi unavyojibu humu ndani nimengudua yafuatayo
1Uwezo wako wa akili upo chini sana
2.Kama kweli umepata division one ,utakuwa ulipata msaada(external force)
3.Iwapo utaendelea kwa masomo popote pale ,basi mbeleni unayo kazi ya ziada,maake unaviashiria vyote vya ukilaza.
 
princemikazo

princemikazo

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2019
Messages
1,321
Points
2,000
princemikazo

princemikazo

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2019
1,321 2,000
Umezingua,,Unapataje Civics D wewe?Hufuatilii mambo ya koro show na CAG et?
 
NTABO wa NTABO

NTABO wa NTABO

Senior Member
Joined
Jun 25, 2017
Messages
156
Points
250
NTABO wa NTABO

NTABO wa NTABO

Senior Member
Joined Jun 25, 2017
156 250
Kuna Mtu Alimuomba Matokeo Yake Nn? Sasa Kakosea Katuma Huku,
 
fundinaizer

fundinaizer

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2016
Messages
1,342
Points
2,000
G

GRANITE II

Member
Joined
Oct 24, 2016
Messages
52
Points
95
G

GRANITE II

Member
Joined Oct 24, 2016
52 95
Jamaa anavyojibu shombo humu ni kama yeye ndio wa kwanza kupata I ya 11 ....
 
dimatteo

dimatteo

Senior Member
Joined
Jan 14, 2018
Messages
117
Points
250
dimatteo

dimatteo

Senior Member
Joined Jan 14, 2018
117 250
State and explain "fleming's left hand rule"... ukiweza nitakushauri.

Sent using Jamii Forums mobile app
"Extend a first finger ,second finger and the thumb mutually at right angle,the first finger will show the direction of magnetic field,second finger will show the direction of current while the thumb will show the motio (force) of a coil".....hahahaaa daah ni mwaka wa tisa sasa tangu nimalize form four ila bado hizi mambo zipo kichwanii.....daah MODDY PHYSICS NITAMUHESHIMU MILELE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wyatt Mathewson

Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2017
Messages
4,369
Points
2,000
Wyatt Mathewson

Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2017
4,369 2,000
Nimepata one ya 11

Physics -B

CHEMISTRY -A

BIOLOGY-A

MATHEMATICS-A

GEOGRAPHY-C

HISTORY-B

CIVICS-D


KISWAHILI-B


ENGLISH-B

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu si ndio wewe unaongea matusi sana humu kuhusu sijui tomba this tomba that,etc?

Ndio maana umefeli hivi!
 
Wyatt Mathewson

Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2017
Messages
4,369
Points
2,000
Wyatt Mathewson

Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2017
4,369 2,000
huyo kakalili kila mtu akipata one anataka kuwa injinia asa mi sipo ivyo mainjinia yao wakasome wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
"kakalili"?

Aisee.....

Hii weekend iliyoisha umeleta fujo sana humu JF kwa mambo ya kijinga kijinga tu!

Olevel unapata 1.11 halafu unaweka humu?

Hizi failures mnazileta humu ili iweje?
 

Forum statistics

Threads 1,284,096
Members 493,941
Posts 30,812,849
Top