Nimepata division one ya 11


OS Cordis

OS Cordis

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Messages
7,409
Likes
11,792
Points
280
OS Cordis

OS Cordis

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2016
7,409 11,792 280
Kasome PCB lakni ujiandae kwa msuli mzito.. Though elimu yenu kwa sasa imekuwa laini utatoka na one nzito then nenda muhimbili ukasomee MD then uje hapa unishukuru kaka yako
 
MIXOLOGIST

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2016
Messages
3,387
Likes
7,255
Points
280
MIXOLOGIST

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2016
3,387 7,255 280
Wewe lazima utakua CCM
 
100 Likes

100 Likes

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2018
Messages
1,808
Likes
3,700
Points
280
100 Likes

100 Likes

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2018
1,808 3,700 280
Jana ulimiza ile hela ya best?
 
F

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Messages
3,094
Likes
8,489
Points
280
Age
28
F

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2011
3,094 8,489 280
nani kakwambia nataka nisome uinjinia?

Sent using Jamii Forums mobile app
mi nimeshauri. nimeona umeweka matokeo yako kama unahitaji ushauri.. maisha ni uamuzi wako tu... soma unachopenda moyoni... ila kama unahitaji ushauri. mimi moyo wangu unashauri DIT
 
kapalamsenga

kapalamsenga

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2013
Messages
6,073
Likes
3,449
Points
280
kapalamsenga

kapalamsenga

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2013
6,073 3,449 280
Billie

Billie

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2011
Messages
7,929
Likes
6,432
Points
280
Billie

Billie

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2011
7,929 6,432 280
huyo kakalili kila mtu akipata one anataka kuwa injinia asa mi sipo ivyo mainjinia yao wakasome wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilichomuelewa jamaa anataka kukuelekeza kwenye fani sio kwenye vyeti kwa sababu mtaani huku mwenye fani anathaminika kuliko wenye vyeti ambao wengi wao wanatumiwa visivyo na wanasiasa na wengi ndo hao wanalalamika ajira hamna mtaani. Take an example mtu aliesomea ELECTRONICS au COMPUTER ENGINEERING hawezi kufanana kuhaha mtaani kama yule aliyesomea HUMAN RESOURCES

Sent using Jamii Forums mobile app
 
adriz

adriz

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2017
Messages
528
Likes
505
Points
180
adriz

adriz

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2017
528 505 180
Kasomee DVD mkuu kwa matokeo yko itakufaa sana A_level
 

Forum statistics

Threads 1,274,406
Members 490,676
Posts 30,511,110