Nimepata division III.15 kwa mchepuo wa PCM, Je, nitaweza kusomea Uhandisi?

hilker mhema

Member
Mar 20, 2017
81
23
Wakuu naomba ushauri,

Nimepata daraja la III.15 kwa mchepuo wa Physics, Chemestry and Mathematics(PCM). Kwa matokeo haya je naweza kusoma shahada ya Uhandisi?

Na kama kuna uwezekano huo, je nitaweza kupata nafasi kwenye chuo gani?

Natanguliza shukrani zangu za dhati
 
Hujataja grade zako! Division 3. 15 unaweza kupata chuo au usipate.

Mfano ; Kama umepata Physics D, Advanced Mathematics D, Chemistry F ambayo ni Division 3. 15 Chuo unapata

Lakini kama umepata Physics E, Advanced Mathematics E, Chemistry E. We nenda kalime matikiti
 
Yani mpaka leo hujaapply chuo wakati wengine wamesharudishiwa majibu ya kuchaguliwa kweli hauko serious
 
WAKUU NAOMBA USHAURI ,NIMEPATA DIV 3 YA 15 FORM SIX KWA COMB YA PCM,JE NAWEZA SOMA BACHELOR IN ENGINEERING?NA JE KAMA NAWEZA NI KWA CHUO GANI? NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU ZA DHATI KWENU
Unaweza ukawa na division four ukawa na sifa ya kusoma degree au usiwe nayo, weka grade za masomo ulizoscore.ni vizuri zaid kuliko division, ili ushauriwe
 
nimepata E kwenye masomo yangu yoote
Matokeo yako ya o level yapoje mdogo wangu

Hebu nitajie nikusaidie !

Kwa hayo matokeo ya advance haujakidhi viwango vya direct applicant kutoka frm six

Ntajie matokeo yako ya o level nikusaidie mdogo wangu
 
Hujataja grade zako! Division 3. 15 unaweza kupata chuo au usipate.

Mfano ; Kama umepata Physics D, Advanced Mathematics D, Chemistry F ambayo ni Division 3. 15 Chuo unapata

Lakini kama umepata Physics E, Advanced Mathematics E, Chemistry E. We nenda kalime matikiti
 
Hujataja grade zako! Division 3. 15 unaweza kupata chuo au usipate.
Mfano ; Kama umepata Physics D, Advanced Mathematics D, Chemistry F ambayo ni Division 3. 15 Chuo unapata
Lakini kama umepata Physics E, Advanced Mathematics E, Chemistry E. We nenda kalime matikiti
kwamba alienda shule kucheza?
 
Back
Top Bottom