Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,315
- 33,108
Ndiyo maana huwa nnauliza una miaka mingapi? mwenyewe hapo ndiyo unajiona umefanya jambo la maana kweli?
Kwa sababu wewe muda wote unakomaa na mambo chadema Vs CCM unataka watu wengine nao muda wote wawe hivyo. Kama unaona kachemka we sepa tu sio lazima ukomenti. Mtu mzima ovyoooo
ha ha ha lol
hako kamama kana superiority complex,kanajifanya kanajua kila kitu...na kudowngrade wengine...Kwa sababu wewe muda wote unakomaa na mambo chadema Vs CCM unataka watu wengine nao muda wote wawe hivyo. Kama unaona kachemka we sepa tu sio lazima ukomenti. Mtu mzima ovyoooo
utaharibu ukikata, rahic ni kuchomoa tu hizo mikanda!!!Nakata tu mikanda halafu napeleka kwa fundi viatu.. Hahaha!