single father
Member
- Oct 22, 2019
- 77
- 117
Wandugu walifanikisha 100% kwa upande wa walimu nimekutana na changamoto ya kushindwa kusave machaguo hicho kitufe hakipo msaada tafadhali
Tumia chrome au browser ambayo inakubali kugeuza sim kisha rotate hiyo sim yako utakiona kipo pembeniWandugu walifanikisha 100% kwa upande wa walimu nimekutana na changamoto ya kushindwa kusave machaguo hicho kitufe hakipo msaada tafadhaliView attachment 1779655
Asante shemejiKama unatumia sim rotate kipo kwapembeni
Jamani naomba unielekeze umefanyaaje , Mimi inanisumbua kujiunga kule mwanzoWandugu walifanikisha 100% kwa upande wa walimu nimekutana na changamoto ya kushindwa kusave machaguo hicho kitufe hakipo msaada tafadhali
View attachment 1779655
Broo naomba unielekeze namna ya kujiunga OTEAS ualimu ,, Kuna mahali inanisumbua.Tumia chrome au browser ambayo inakubali kugeuza sim kisha rotate hiyo sim yako utakiona kipo pembeni
Sorry nilikua shamba nimechelewa kuona post yako, nambie ulipofikia na ulipokwama.Broo naomba unielekeze namna ya kujiunga OTEAS ualimu ,, Kuna mahali inanisumbua.
Msaada jaman nashindwa kuhamisha nilijikuta imeenda ualimuvwakati mimi nimeomba kada ya afyaa naomba msaada wa kuhamisha haya maombi ya ajira za mei 2021 isomeke Afya sio ualimu
Jibu swali hiliMsaada jaman nashindwa kuhamisha nilijikuta imeenda ualimuvwakati mimi nimeomba kada ya afyaa naomba msaada wa kuhamisha haya maombi ya ajira za mei 2021 isomeke Afya sio ualimu
Ulisha-submit?