๐๐๐๐๐iPhone 5s kadogo hako ka kuchezea mtoto
๐๐๐๐๐iPhone 5s kadogo hako ka kuchezea mtoto
Na mm wa s6 inanihusu hii maana nimeishia android 7Firmware Downloads - All Official Android & Samsung Firmware Updates
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Na mm wa s6 inanihusu hii maana nimeishia android 7
Kama una jelbinSamsung huwa wana offer only two next android versions kutokea built in ya simu iliyopo...mfano kama una Nougat utapata mpk pie...kama una Marshmallow utaishia Oreo.
Mkuu umezidi kunichanganya ujueSamsung huwa wana offer only two next android versions kutokea built in ya simu iliyopo...mfano kama una Nougat utapata mpk pie...kama una Marshmallow utaishia Oreo.
Kama una jelbin
Kwenye Upgrade za Android Versions wanakupa mbili...Kama ulikua Android 7 tegemea kupata mpk Android 9 etc.Mkuu umezidi kunichanganya ujue
Tafuteni vodacom 4G dk 12 update imekamilika
Kupitia android 9 pie utapata feature ya night mode pia, verry interesting, lakin mabadiliko ni makubwa sana kulinganisha na previous version, mwanzo nilikuwa siipendi ila sasa nimeizoea na ni nzuri sana
Absolutely intersting...naona features kama multi window task wamezitoa .
Shukrani mkuu.... naonawamebadilisha design yake ndio maana sikugundua mapema.
Naomba msaada , baada ya upgrade to Pie Gearfit yangu imebadilika kila kitu kipo kwenye lugha ya kikorea, anayejua anisaidie
Unatumia simu gani?Heshima kwako mkuu! Naomba elimu ya jinsi ya ku ugrade manually to android 9. Nina android 8.1. Natanguliza shukrani