Nimepata Android 9 (PIE) baada ku update simu yangu

Hivi tatizo ni nini s8 yangu iligomea Android 7 mpaka nika manual update kwenda pie lakini tatizo ni palepale nina security patch ya February na kila nikijaribu ku-update inasema your software is up to date. Wakati kuna update kama 3 tokea pie na wengine juzi tu wamepata update ya 600mb.
 
Samsung huwa wana offer only two next android versions kutokea built in ya simu iliyopo...mfano kama una Nougat utapata mpk pie...kama una Marshmallow utaishia Oreo.
Na mm wa s6 inanihusu hii maana nimeishia android 7
 
Samsung huwa wana offer only two next android versions kutokea built in ya simu iliyopo...mfano kama una Nougat utapata mpk pie...kama una Marshmallow utaishia Oreo.
Mkuu umezidi kunichanganya ujue
 
Nachomaanisha ni kuwa Samsung kama jinsi Warranty wanavyokupa miaka miwili ndo ivo ivo
Mkuu umezidi kunichanganya ujue
Kwenye Upgrade za Android Versions wanakupa mbili...Kama ulikua Android 7 tegemea kupata mpk Android 9 etc.
 
Kupitia android 9 pie utapata feature ya night mode pia, verry interesting, lakin mabadiliko ni makubwa sana kulinganisha na previous version, mwanzo nilikuwa siipendi ila sasa nimeizoea na ni nzuri sana
 
Night mode
20190515_211327.jpeg
 
Absolutely intersting...naona features kama multi window task wamezitoa .
Kupitia android 9 pie utapata feature ya night mode pia, verry interesting, lakin mabadiliko ni makubwa sana kulinganisha na previous version, mwanzo nilikuwa siipendi ila sasa nimeizoea na ni nzuri sana
 
Naomba msaada , baada ya upgrade to Pie Gearfit yangu imebadilika kila kitu kipo kwenye lugha ya kikorea, anayejua anisaidie
 
Naomba msaada , baada ya upgrade to Pie Gearfit yangu imebadilika kila kitu kipo kwenye lugha ya kikorea, anayejua anisaidie

Heshima kwako mkuu! Naomba elimu ya jinsi ya ku ugrade manually to android 9. Nina android 8.1. Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom