Nimepata Android 9 (PIE) baada ku update simu yangu

20190304_234010.png
😎😎😎😎
 
Mkuu hiyo simu yako (SM-G920P) ina pandisha 4G?
Maana na mimi natumia kama hiyo pia, ila haina 4G, na nibaada ya ku update android kutoka 6 to 7 (manually), but ilivyo kuwa na android 6 ilikuwa na 4G. now ina 3G tu.
Sijui shida nu nini?
Inapandisha mkuu

Set manually au utumie custom rom

Rom yako ya 7 umeipata wapi? Haisumbui network? Nipe link

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Kwangu Pia ki-nokia 2.1 kimeniletea alert ya Android version 9 pie Jana. Baada ya ku-install naona line ya 4G imepunguza Kasi sana ya kuprocess mtandao nikiwa naperuzi.

Nifanyeje wadau?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom