Nimepata Android 9 (PIE) baada ku update simu yangu

Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
11,025
15,312
Jana nilipata notification kuwa android 9 ipo tayari kwa simu yangu (Samsung galaxy S8) nikaweka kifurushi kisha nikapakua na ku install updats.

Kweli simu ikapanda toka android 8 to 9. Pia features kibao zimebadirika ikiwa muonekano na baadhi ya mipangilio.

Ila kuna features za msingi sana zimekuwa discontinued, hii imeifanya simu kuwa ya upweke sana
Screenshot_20190302-232841_Software%20update.jpeg


Kuna vitu kama mult tasking sivioni kabisa, na pia Navigation buttons hazivutii kabisa.
Screenshot_20190303-115904.jpeg

Home button, back button zimekuwa hivyo. Sio za kubonyeza, unaswipe juu kidogo ndio zinafanya kazi

System Tray imekuwa na mvuto kidogo sio kama ya mara ya kwanza
Screenshot_20190303-120127.jpeg


Pia Dolby atmos imeongezeka na kuleta ubora wa sauti na diferent Reverb venues
Screenshot_20190303-120401.jpeg


Pia notifications bar nayo imekuwa poa sana. Ina match na edge screen


Nitazidi kuleta mrejesho kadili ninavyozidi kuichunguza simu
 

Attachments

  • Screenshot_20190303-120517.jpeg
    Screenshot_20190303-120517.jpeg
    34.1 KB · Views: 146
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom