Nimepata ajali na Carina TI, wapi nitapata body ya gari hiyo?

mihadarati

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
268
74
Wadau habari za leo?nimepata ajali na gari yangu carina Ti lakini nashukuru Mungu nimetoka mzima ila gari yangu imeisha kabisa bodi ila engine ni nzima na mifumo mingine naweza pata mtu mwenye bodi ya carina anauza?kama yupo naomba anipm tafadhali..cku njema.
 
Pole sana ...na umshukuru muumba kwa uzima... peleka maelezo kwa mtogole
 
Mkuu ni Tipi sio Sipi.
Mkuu Mgoroko:: asante kwa gramma correction. Huwa na mengi ya kusaidiana na watu wa JF.ila mie toka primary pale Mburahati mwalimu wa kiswahili ndo alikuwa adui yangu mkubwa.Mara nyingi naogopa kuposti majibu sahihi.kutokana na kuogopa mzee kifimbo cheza kama wewe.ila big up kutetea kiswahili
 
Wadau habari za leo?nimepata ajali na gari yangu carina Ti lakini nashukuru Mungu nimetoka mzima ila gari yangu imeisha kabisa bodi ila engine ni nzima na mifumo mingine naweza pata mtu mwenye bodi ya carina anauza?kama yupo naomba anipm tafadhali..cku njema.
mihadarati ingependeza useme unapatikana wapi uelekezwe pa kupata
 
Tatizo la kutokata bima kubwa ndo hilo.sasa ona jinsi unavyohangaika na mbaya zaidi isije kuwa gari nila mkopo.lahaula hapo ndo kuchanganyikiwa mwanzo mwisho.
 
Au wengine wanakata third party badala ya comprehensive. Hapo kama ana comprehensive hata hapati shida
comprehensive! hahaha nani alipe 5% ya thaman ya gari kila mwaka!
wale waagar ya usafiri nao wengi wao hukata feki kudanganya traffic na mtu binafsi je!
 
Mkuu Mgoroko:: asante kwa gramma correction. Huwa na mengi ya kusaidiana na watu wa JF.ila mie toka primary pale Mburahati mwalimu wa kiswahili ndo alikuwa adui yangu mkubwa.Mara nyingi naogopa kuposti majibu sahihi.kutokana na kuogopa mzee kifimbo cheza kama wewe.ila big up kutetea kiswahili
Bwana Chipukizi kiswahili ni kigumu sana ukilinganisha na lugha nyingine,ukikosea neno moja tu la kiswahili unaweza ukajikuta umeleta maana tofauti na sentensi uliyo dhamiria kuielezea,Mfano kuna mtu juzi alitaka kusema namnukuu"Jini anaweza akakujia kwa njia nyingi sana mfano,anaweza akakuji kwenye ndogo"hii sentensi ilileta shida sana kwa wachangiaji ila kinadharia yeye alidhamiria kusema kuwa ndoto,kwahiyo nadhani umeona ni jinsi gani kiswahili kilivyo kigumu,kwahiyo mkuu wewe usiwe unaogopa kuchangia kama kama utakuwa unakosea grammer,ila ujumbe utakuwa unafika.
 
Back
Top Bottom