Nimepapenda humu!

Humu nimekuwa mpita njia tu. Nimevutiwa na hiyo welkamingi remaki yenu wandugu! Yaani inashawishi mtu kuja kujiunga. Nafikiria kuleta maombi yangu rasmi. Naamini nitakubaliwa!!!

Hatuna desturi ya kukataa mtu...
 
bebiii wewe si muke ya mutu?

bathi kama uko thingo tuambiane hata kwa minong'ono!!

hivi mi kumbe ni muke ya mutu oopss, unajua nilipata ajali network yote ya kichwa haipatikani, hebu nikumbushe mume wangu ni nani vile?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom