Hivi Lady doctor bado upo na Arushaone?
sijui!!!!!!!
Sasa Member akishatawazwa humu si mtoto tena ! Utotoutoto unauacha huko mafesbuku !
Unan'skia Preety ?
We ushadiklea unachokipenda ni jamvi .
Sasa ngoja waje mavijana yangu nayo yakupe mistari yatapenda nini kwako !
Hapa kusaulishwa kabati kutoka eneo lake kupelekwa ugokoni ni kwa kufikia tu!
Ushan'fahamu ?
mmmhh.... nina wathiwathi!!