Nimepangiwa Hostel za Magufuli UDSM, natafuta wa kubadilishana naye niende Mabibo Hostel au Main Campus

Usiende mabibo utakuja kujuta nisikilize mimi.

Iko siku utakua na kipindi cha asubuhi saa moja na shuttle zinakua shida hapo utapata usumbufu sana, kingine ukichelewa kutoka class labda pindi la saa mbili unafika mabibo too late na umechoka sana.

Na kuna ule msimu boom linakata utapata shida kwenda hostel kwa mguu(tuliita shuttle pori kipindi chetu)

Alafu mabibo sijawahi kuipenda maana hakuna utulivu wala mazingira ya kujisomea.

Kaa zako hapo hapo hostel mpya au fanya mishe uende campus kama ukipata hall 6 utafurahi sana maana ni pasafu kuliko halls zingine (kama wewe ni Male).
 
Nashukuru sana mkuu kwa ushaur...mana daah cna ufahamu nazo sana hz ishu......bac wacha niforece nipate hata hapo main compus
 
Yes jitahidi upate main campus ila usithubutu kwenda mabibo unless uwe ni mtu wa kupenda makelele na vurugu nyingi ila kama unapenda utulivu kama mimi basi nenda campus kama ukikosa basi kaa hapo hostel mpya sio mbaya sana, sio mbali ukitoka unapitia hapo CoET unaingia venue unapiga pindi lako fresh, kimbembe ukiwa na kipindi venues za Yombo ndo utatembea sana.
 
Usiende mabibo utakuja kujuta nisikilize mimi.

Iko siku utakua na kipindi cha asubuhi saa moja na shuttle zinakua shida hapo utapata usumbufu sana, kingine ukichelewa kutoka class labda pindi la saa mbili unafika mabibo too late na umechoka sana.

Na kuna ule msimu boom linakata utapata shida kwenda hostel kwa mguu(tuliita shuttle pori kipindi chetu)

Alafu mabibo sijawahi kuipenda maana hakuna utulivu wala mazingira ya kujisomea.

Kaa zako hapo hapo hostel mpya au fanya mishe uende campus kama ukipata hall 6 utafurahi sana maana ni pasafu kuliko halls zingine (kama wewe ni Male).
wacha uongo mzee!
mabibo sehem kubwa ya kusomea,sio km campus kameza mnabanana hatare km hall7,hall6 nk vyumba vidogo mpaka kero.

mabbo usafiri co tatzo ni kucheza na muda tu,

mabbo swala la msosi utachagua ule nini kwa cost nafuu so campus km uko jela msos mbovu itakupasa ule tu kuz huna opt.

mabbo muda wote unapata menu kwa watu wa viwanja hata urud saa nane o tisa nk usiku msosi unapata.

km mtu wa 'kazi'(madem) bbo ndo kwenyewe unakaza free tu wasongo wakiwa campus,wakat huo wamejazan campus kweny vyumba vya marafiki wakisubir pind hivyo mtu wa campus hupat uhur.
>>kuna sehem km uwanjan/ground,parking n mida mibov unatia mpk kweny bajaj zinazokuj kupark
wakati campus lovzone saa1uck auxilliary wanadoria....

nenda bbo ukajifunze maisha ya ud.
 
Uongo upi?

Kila mtu anaeleza maoni yake sasa kuniita muongo kunakujaje hapa? Alafu wewe kama sio ngwini sijui.

Unazungumzia mambo ya kula na sterehe kama hoja ya kumfanya mtu akae mabibo? Hii nchi ina safari ndefu.
 
mzee wacha ukijj chuo co advance msuli tembo utadisco km wenzio.kufaulu n mipango,wat msuli kidogo gpa kubwa.

ww fala misosi sehem ya kufanya usome ndo maana bod wanakupa mzigo accomodation n meals
xx ww chukua kanunue mabati kijjn kwen ili upige miayo yombo.
 
Nashukuru sana mkuu kwa ushaur...mana daah cna ufahamu nazo sana hz ishu......bac wacha niforece nipate hata hapo main compus
Dogo, ushawahi kufika UD? Hostel za Magufuli ziko hapo hapo main campus. Zimepakana na bara bara ya Sam nujoma, na uwanja wa mpira. Hutohitaji kupanda gari kufika kwenye ukumbi wa muhadhara. Sema kwa jinsi UD ilivyo na eneo kubwa, ukiwa mvivu kutembea utakoma. Maana ukiwa unakaa hostel mpaka ufike Yombo au UDBS, kuna kamwendo...
So usiwe na wasi wasi... Uko kwenye mikono salama.
 
mzee wacha ukijj chuo co advance msuli tembo utadisco km wenzio.kufaulu n mipango,wat msuli kidogo gpa kubwa.

ww fala misosi sehem ya kufanya usome ndo maana bod wanakupa mzigo accomodation n meals
xx ww chukua kanunue mabati kijjn kwen ili upige miayo yombo.
Wewe inawezekana ukawa mdogo wangu wa kumi na kitu.

Nilimaliza hapo kitambo na sikua mtu wa starehe kivile na sikua mtu wa msuli tembo.

Binafsi napenda utulivu, sipendi kelele wala vurugu.

Totozi nimetafuna kimtindo, sikuwahi kuhudhuria Bash zaidi ya Bash la welcome first year.

Kwa sasa ni baba wa familia, we kama bado unasoma komaa utoke.
 
mzee nishamalizaga muda t nw tunapambana na magu.
 
we jamaa ni fala 'ngwini' bdo ulichojifunza chuo,bila shaka usingekuja mjin bila chuo.
Ni kweli mimi kwetu kijijini sana na baada ya kupasua necta ndio nikaja mjini.

Nakukumbusha tu hapo mjini kuna wazaramo kibao lakini hata jina la chuo kikuu cha Dsm hawalijui wanaita chuo cha Mlimani City, sasa unaona mimi wa kijijini na ndugu zako wa mjini nani mshamba?
 
Katika kusoma kwangu hapo udsm hakuna mahala pa kuishi niliwahi kupapenda kama MABIBO HOSTEL. Huwa napamiss sana asee!!
Ukiishi mabibo utafaidi sana kipindi cha migomo lazima isukwe mabibo. Pia kufa njaa mabibo ni nadra sana kuna environment kubwa sana ya kusocialize.
 
Ni kweli mimi kwetu kijijini sana na baada ya kupasua necta ndio nikaja mjini.

Nakukumbusha tu hapo mjini kuna wazaramo kibao lakini hata jina la chuo kikuu cha Dsm hawalijui wanaita chuo cha Mlimani City, sasa unaona mimi wa kijijini na ndugu zako wa mjini nani mshamba?
Hahaaa....mara nyingi wengi huwa wanajua hivyo hasa wahamiaji. Ila wale wa dar OG wanafahamu uwepo wa uwanja wa mpira ilipo mlimani city. Watakumbuka ile mikorosho, miti na kituo cha tax hapo lilipo stendi ya changanyikeni
 
Back
Top Bottom