Nimepangiwa field Lindi secondary mwenye kujua maisha ya pale Lindi anipe madhaifu na ubora

kesho kutwa

JF-Expert Member
Dec 7, 2016
1,104
2,000
Wakuu ninaomba mwenye uwelewa na hali halisi ya maisha ya Lindi mjini vipi gharama za maisha na mengineo mahali pa kuabudia yaani makanisa. Asante.

Na vipi maduka ya smartphone simu Maana ninapesa nataka kununua Kipindi cha field.
 
Good Father

JF-Expert Member
Feb 28, 2014
8,951
2,000
Wakuu ninaomba mwenye uwelewa na hali halisi ya maisha ya lindi mjini Vipi garama Za maisha na mengineo mahali pa kuabudia yani makanisa. Asante.
Na Vipi maduka ya smartphone Simu Maana ninapesa nataka kununua Kipind cha field.
Shule iko barabara kuu ya Dar-Lindi.
Ukishuka stendi unarudi nyuma maana stendi iko mbele ya shule yaani utaipita shule ndo unaenda stendi.

Sehemu za Lindi town ni pazuri tu, sehemu za kutembea mara nyingi ni beach maana ni karibu sana hata na shule ya Lindi Sec.

Kilichonishangaza Lindi sikuwahi kuona daladala inaenda mitaa kama mtanda, na kama daladala zipo basi ni chache mno.
Pia kuna sehemu maji ni shida sana tena sio mbali na town wala nini.
Lindi samaki kibao japo bei sio chini kivile.
Totoz zipo nje nje tu, uwe makini usimtie mimba mtoto wa Ndalichako maana vitakutega kinoma

Vinginevyo nakutakia kila la heri.
Ukiwa na shida na mawasiliano ya pale njoo PM ntakupa mawasiliano ya mdogo wangu ni mwalimu wa pale (ajira mpya za Magufuli)
 
Mkuu nimekupata Vipi garama Za maisha Za pale
 
Blank page

JF-Expert Member
May 28, 2015
4,243
2,000
we jamaa,sijui vp yani kila kitu unachofanya au kupata lazima uje upost huku jf una matatizo gani huku sio fb? afu wew kama unasoma education bhas chuo chako kina mapungufu,field unapangiwaje badala ya wew kujipangia unapopataka? huenda hata chuo hausomi,embu tuone kama kweli kuna vyuo vinawapangia wanafunzi sehemu za kufanya field kwa education...??
 
Shombe la Kisomali

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
4,854

:):):):):):):):):)
 
Bacary Superior

JF-Expert Member
Jul 3, 2014
3,735

Mkuu sikuhizi education field wanapangiwa shule za kwenda, kwa sababu wanafunzi 10 wa chuo kimoja wanarudikana kwenye shule moja, kinachofanyika ni kuwa unaandika jina la mkoa afu unaohitaji kufanya field, then system inapanga kuwa uende shule gani katika huo mkoa.
 
Bacary Superior

JF-Expert Member
Jul 3, 2014
3,735
2,000
Aisei lindi kijana wangu maisha rahisi sana, jiandae kusaka demu wa kiharabu maana panaitwa Paris pale full watoto, beach zimejaa naona siku hizi wanakula bata maeneo ya mitwero huko, but kuna sehemu mzuri za kupumzika, beach tena kama hapo shuleni kwenu
ndio karibu na beach.
 
Nashukuru mkuu
 
kesho kutwa

JF-Expert Member
Dec 7, 2016
1,104
2,000
Mkuu sikuhizi education field wanapangiwa shule za kwenda, kwa sababu wanafunzi 10 wa chuo kimoja wanarudikana kwenye shule moja, kinachofanyika ni kuwa unaandika jina la mkoa afu unaohitaji kufanya field, then system inapanga kuwa uende shule gani katika huo mkoa.
Ana roho ya korosho huyo we humwoni sura Ile utadhani zombi
 
Blank page

JF-Expert Member
May 28, 2015
4,243
2,000
Mkuu sikuhizi education field wanapangiwa shule za kwenda, kwa sababu wanafunzi 10 wa chuo kimoja wanarudikana kwenye shule moja, kinachofanyika ni kuwa unaandika jina la mkoa afu unaohitaji kufanya field, then system inapanga kuwa uende shule gani katika huo mkoa.
Nadhani kwa baadhi ya vyuo ambavyo system yao haijakaa poa,ama hawajaamua kuwa na utaratibu mzuri wa kueleweka.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom