Nimepanga mwanangu asome mwisho Kidato cha 4, asiendelee cha 5 na 6

Unazungumzia Apprenticeship. Hiyo ndio ilikuwa mfumo wa elimu duniani kwa milenia, kabla ya kuja mfumo wa sasa. Michael Faraday ni mfano mmoja wa mafanikio ya mfumo huo.

Pengine mkuu OP utanufaika ukisoma kitabu cha Robert Greene "Mastery".
Michael Faraday umenikumbusha physics
 
Hao vijana wa kiarabu walioishia kidato cha nne kama hawajasoma wamejuaji kila kifaa cha gari kinavyofanya kazi na changamoto zake?
Wewe upo dunia ya wapi? Kwa mfano mwepesi sana na usipo nielewa shaur yako.

Hivi kila fundi simu hapa Tz unafikiri alienda shule kusomea simu. Kuna mafundi simu hata la saba hawakumalisa ila simu anajua kila kifaa na kazi yake.

Jua kutofautisha experience na elimu
 
Mfano upi au wewe ni mmoja ya wale wao tazama lkn hawaoni.
Umesema mimi. Na billie ni mtu mmoja. Hizi kimtaaani ni tuhuma, Ila humu. Kwa sababu hatujuani sio issue
Nikawamnbia toa ushahidi kwa hilo umebaki kusema maandishi , huijatoa point to support allegation zako zaidi ya hearsay .

False alegarion kimtaaani carries with it hefty financial claims Kama ukikutana na watu wanaojua ku frame kesi vizuri, nakushauri usiwe mwepesi kutuhumu Kama. Huna uhakika na unachokisema.
Again mimi na billie sio mtu mmoja
 
Tunafeli kwa mengi, Wahindi na Waarabu watoto wao tunasoma nao St Kayumba lakini wakirudi nyumbani, baba haendi bar kula nyama choma jioni anakaa sebuleni na wanae. Akija Uncle Hamood kusalimia kahawa na chai vinawekwa kwenye vikombe na wanakunywa wote.

Baba na Uncle Hamood hawaongelei mchepuko wenye chura zaidi, wanaongelea risk factors za biashara.
yaan mama mkubwa comments zako zina mafunzo, ila lazima msomaji acheke tyuuh.
 
Wewe upo dunia ya wapi? Kwa mfano mwepesi sana na usipo nielewa shaur yako.

Hivi kila fundi simu hapa Tz unafikiri alienda shule kusomea simu. Kuna mafundi simu hata la saba hawakumalisa ila simu anajua kila kifaa na kazi yake.

Jua kutofautisha experience na elimu
Sasa TCRA inawataka fundi simu wote wasome VETA
 
Umesema mimi. Na billie ni mtu mmoja ,. Hizi kimtaaani ni tuhuma , Ila humu. Kwa sababu hatujuani sio issue
Nikawamnbia toa ushahidi kwa hilo umebaki kusema maandishi , huijatoa point to support allegation zako zaidi ya hearsay .

False alegarion kimtaaani carries with it hefty financial claims Kama ukikutana na watu wanaojua ku frame kesi vizuri, nakushauri usiwe mwepesi kutuhumu Kama. Huna uhakika na unachokisema.
Again mimi na billie sio mtu mmoja
Unatizama lkn huoni.
 
Sasa mkuu kila mtu akiwa mfanyabiashara nani atamuuzia mwenzake? Tunaishi kwa kutegemeana.

Kumbuka izo spare wanazouza zimetengenezwa na waatu walioenda shule so na yeye anategemea wasomi.
Wewe hujaelewa nini ..huku Tz mnafundishwa kutengeneza vifaa vya magari? Unafananisha wasomi wa bongo na huko duniani? Acha ushamba bwana mkubwa..tumia akili yako vizuri
 
1. Kama wana umri mdogo hatua ya kwanza hakikisha wana pc au laptop (hata kama ikiwa moja nyumbani).

2. Wajengee mazoea ya kuangalia documentaries..

Mfano E. Musk akiwa anatest rocket zake wafungulie tv waangalie anza kuwaambia unaona rocket zilivyo? Utajiskiaje na wewe ukitengeneza yako siku moja?

3. Ukienda mjini nunua betri na balbu na waya. Then waite, unga waya na betri taa ikiwaka watafurahi sana (hasa kama ni vitoto), waachie wachezee!! Wakiharibu wanunulie tena!!

Kwa kifupi wajengee mazingira ya curiosity/kifafiti pia wajengee mazoea ya kuuliza why!!
Sisi huku africa tumefundishwa kupokea tu ..kule japan mtoto akifundishwa hii ni moja ..lazima aulize kwanin hii ni moja? nilimsikia docta Isaac Maro akiwa anaongea hilo suala.
Sisi huku hatujafundishwa kuuliza "why" ni mwendo wa kupokea kila kitu.
 
Wewe ndye mbabaishaji. Waliotengeneza magar ya kwanza hata hawakwenda shule. Walioenda shule ndyo waliokuja kusoma mfumo wa magar unavyofanya kazi.
Ubunifu mwingi ni zao la Logical thinking and talents! Huhitaji kwenda shule ili kuwa na hivyo viwili thats why Faraday hatukusikia ameenda shule ila amefanya makubwa sana ambayo mpaka wenye shule wamestaajabu na ndio tunasoma gunduzi na nadharia zake.

Wapo wazee wengi waliishia la 7 ila ndio matajiri wakubwa wenye mali na pesa. Kimsingi mtoa mada ana point japo wengi mtamuona mpuuzi. Dunia ilipofikia cha maana ni pesa tu, kama una uwezo wa kusoma na kuandika kisha ukatengeneza njia ya kujipatia pesa nyingi kihalali ukamiliki vitu wewe ni zaidi ya mwenye PhD. Tuache mboyoyo
 
Sisi huku africa tumefundishwa kupokea tu ..kule japan mtoto akifundishwa hii ni moja ..lazima aulize kwanin hii ni moja? nilimsikia docta Isaac Maro akiwa anaongea hilo suala.
Sisi huku hatujafundishwa kuuliza "why" ni mwendo wa kupokea kila kitu.
Kwa sababu huku kwetu system ni hio hio. Hata mwalimu yeye hajui kwanini ni moja ila kitabu ndio kimeandika hivyo kwa hio kubishana nae utakula stiki tu au atakuchukia from there on.
 
Mkuu unadhani kujua kitu ni mpaka usomee? Au ni mpaka ukae darasani upate cheti...ndo unachotaka
Jamaa mshamba, elimu unaweza ipata hata kwa kujisomea privately tu. Nunua kitabu kinachoelezea mfumo wa gari soma. Ukikimaliza una knowlege in an out kuhusu four stroke engine na transmission, suspension n.k. ukimaliza ukavijua vyote tayari unakuwa umeelimika.

Mf. mi ninafahamu mambo mengi tofauti kwa kujisomea tu mtandaoni. Sina cheti cha automobile mechanical engineer ila ninaelewa mfumo wa gari vizuri tu. Thats education! Sina cheti cha sound engineering ila ninaelewa mambo ya muziki na spectrums zake. Elimu ni ufahamu ulio nao juu ya jambo fulani sio cheti.

Wabongo wanahisi mpaka upewe cheti ndio uwe msomi au uelimike. Tuko katika information age kwa sasa. Ila hatujui nguvu ya internet ndio maana tunaishia kukariri tu vitu visivyo na maana for half a lifetime.
 
Hao vijana wa kiarabu walioishia kidato cha nne kama hawajasoma wamejuaji kila kifaa cha gari kinavyofanya kazi na changamoto zake?
Tuko katika information age ambapo knowledge iko available ni wewe kutafta watu sahihi au chanzo sahihi cha kujifunza. Kuna watu ambao wabobezi wanaweza kukuelekeza au unaweza jisomea articles mtandaoni ukapata ufahamu katika jambo lolote specifically.

You don't need to waste 16 years mashuleni kujifunza vitu ambavyo ni useless kwako. Basic education ni muhimu ili ujue kuhesabu,kusoma na kuandika maana ndio elimu tanzu. After that kutanua ufahamu unaweza kupitia usomaji vitabu mbali mbali au online articles.

Shigongo ni mfano mzuri tu!
 
Back
Top Bottom