Mtaishia kupewa misaada ya kitaalamu hivyo hivyo na hayo ma thermodynamics ya makaratasi yasiyo na tija ongea vitu kwa fact bana mi nimekwenda S.A nilikuta wazalisha locomotives underlinced kutoka kampuni ya ELECTROMOTIVE DIESEL vitu kama bogies, superstructure ndiyo vinakuwa vinatengenezwa pale na magurudumu ila Diesel Engines, Air Compressor, Main and Auxillary Generator, Electrical Control Panel na Air brake valves zote vyatoka La Grange Illinois U.S.A pale wanakuja ku assemble tu. Position zote za maana za kitaalamu wanahusika wao tu.Kwani Ku manufacture ndio Ku invent.Mnashindwa kutofautisha manufacturing and invention. Kufanya Manufacturing sio lazima uwe umegundua vitu hivyo.Halafu Injinia was kiwanda hafanyi kazi ya invention hizo ni kazi ya research center, Injinia kazi yake kusimamia kiwanda kizalishe kama ilivyokusudiwa. Unafikiri kampuni zinazounda ndege zote zinaunda engine ya ndege? Kampuni za kuuda redio zinaunda chip?
China wenyewe wana manufacture simu bado processor wananunua ulaya.Kama manufacturing ni kuunda kila kitu mwenyewe basi sijawahi sikia kiwanda duniani kinachounda kila kitu chenyewe naomba mnitajie kiwanda duniani kinachounda kila kitu mpaka bidhaa ionekane.
Unaweza ukadizaini injini bado ukashindwa Ku manufacture, assembly line and manufacturing ndio muhimu kuliko hata kudizaini kchenyewe.
Kampuni ya Tesla yenyewe imekuwa ikishindwa kufikia uzalishaji kwa sababu hawana facility za kufanya manufacturing kwa wingi kutosheleza oda ndio maana wamekazimika kujenga factories nyingi.Tesla wenyewe wana nunua teknolojia za Ku assemble.Hivi hamkusoma jografia "Ruhrl industrial area ilifanikiwa vipi in 60's.
Chuo kikuu cha Makerere walizindua gari yao ya hybrid system but wameshindwa Ku manufacture b'se kwa sababu manufacturing is about business is not science, science is in the laboratory. Manufacturing wanafanya wenye mitaji sio lazima awe mwanasayansi, manufacturing is all about production not research.
Kasomeni historian ya TATA au Hyundai hao mabosi hawakuwa mainjinia.Acheni kupayuka vitu msivyovijua mmehitimu vyuo gani mambo madogo yanawashinda kuyaelewa,mnaweza kuanzisha viwanda nyinyi kwa uelewa huo?
Magufuri anavyowahamasisha muanzishe viwanda mnafikiri anaka mvigundue? Wakuelewa na aelewe mbishi aendelee na msimamo wake.
Mi sibishani tena