Nimepanga kuoa msichana aliyenizidi kuanzia miaka 7 mpaka 10.

Wanajamvi habarini! Natumai mpo sawa waziii?

Naomba niende kwenye mada, mimi ni kijana ambaye bado natafuta na nimefanikiwa kiasi cha kuoa.

Ninataka kuoa mtu mzima, je, nitakuwa nakosea? Nimefikira sana uamuzi huu!
Yatakayo kupata usiseme hukuambiwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom