Nimepanda daladala kuna mtu anajampa toka mwanzo wa safari natamani nishuke

Papushikashi

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
10,708
12,789
Yaani toka tumeanza safari kuna mtu anajamba ushuzi unanuka balaa na daladala imejaa mno na safari bado ndefu nimevumilia nimeshindwa nimeamua kusema wazi kwenye daladala na watu wengine wamedakia lakini hali bado ni mbaya
Dah! Hizi daladala hizi zina karaa wakati mwingine
 
Ngojea muhusika wa kujamba ovyo kwenye daladala aje huku tumuhoji vizuri.
 
Shuzi la huyo mtu litumie kama fursa likupe hasira ununue gari yako.
Yaani toka tumeanza safari kuna mtu anajamba ushuzi unanuka balaa na daladala imejaa mno na safari bado ndefu nimevumilia nimeshindwa nimeamua kusema wazi kwenye daladala na watu wengine wamedakia lakini hali bado ni mbaya
Dah! Hizi daladala hizi zina karaa wakati mwingine
 
Yaani toka tumeanza safari kuna mtu anajamba ushuzi unanuka balaa na daladala imejaa mno na safari bado ndefu nimevumilia nimeshindwa nimeamua kusema wazi kwenye daladala na watu wengine wamedakia lakini hali bado ni mbaya
Dah! Hizi daladala hizi zina karaa wakati mwingine
Sasa ukitaka huo ushuzi, aujambie wapi? Si uvumilie tu kwani wewe huwa hujijambii mwenyewe ukilala?
 
Back
Top Bottom