Nimeota usiku kuwa wagombea ubunge kwenye jimbo la TL kwa upande wa chadema wamepigwa chini kwa kukosa sifa

Nyankuru Wankuru

JF-Expert Member
Apr 22, 2018
1,199
1,346
Wakuu habari zenyu?

Leo usiku nikiwa nimelala nikajikuta naota kuwa mgombea ubunge kwenye jimbo la TL kupitia chadema kapigwa chini na tume baada ya kuambiwa kakoswa sifa za kugombea, mara nikaona mgombea anasema kuwa tutaenda mahakamani ili haki ipatikane, haiwezekani mtu nimejaza form zote alafu niambiwe Sina sifa.

Badae nikaona mkurugenzi wa halmashauri ya ikungi bwana kijazi akimtangaza mgombea kupitia chama changu cha ccm kuwa kashinda kwa kishindo.

Kisha nikaona mgombea wa mlengo wa kushoto anaelekea kwa sangoma eti kupigiwa ramli kujua kama ni kweli kakoswa sifa, sangoma akamwmbia wewe hata ungekuwa na sifa zote usingeshinda hata ukatambikie mizimu ya kwenyu.

Jamaa akiwa anarudi toka kwa sangoma akasikika akisema ccm oyeee ccm oyeee .

Mnajengewa kituo cha afya cha sepuka alafu mchague mpinzani?? Alisikika jamaa akisema hivyo.

Badae nikastuka usingizin eeh kumbe kumbe kumekucha.
 
Hujaota. Ila umeelezea hali halisi. Kuwa mgombea wa chama tawala atapitishwa kwa nguvu hata iweje.
 
Umeota au unafikiri itakuwa hivyo! Hilo limeshawahi kutokea na haitashangaza likitokea tena!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hujaota mikutano ya cdm ikitawanywa kwa mabomu wakati wa kampeni?
 
Mtu yeyote atakayechukua form kugombea ubunge jimboni kwa Lissu atakuwa ni mwenye roho ya kipumbavu, kishenzi na uuaji kama walivyo mabwana wale wawili! Ni manyang'au ambayo tunejitwalia na kujitwika!
 
Wakuu habari zenyu?

Leo usiku nikiwa nimelala nikajikuta naota kuwa mgombea ubunge kwenye jimbo la TL kupitia chadema kapigwa chini na tume baada ya kuambiwa kakoswa sifa za kugombea, mara nikaona mgombea anasema kuwa tutaenda mahakamani ili haki ipatikane, haiwezekani mtu nimejaza form zote alafu niambiwe Sina sifa.

Badae nikaona mkurugenzi wa halmashauri ya ikungi bwana kijazi akimtangaza mgombea kupitia chama changu cha ccm kuwa kashinda kwa kishindo.

Kisha nikaona mgombea wa mlengo wa kushoto anaelekea kwa sangoma eti kupigiwa ramli kujua kama ni kweli kakoswa sifa, sangoma akamwmbia wewe hata ungekuwa na sifa zote usingeshinda hata ukatambikie mizimu ya kwenyu.

Jamaa akiwa anarudi toka kwa sangoma akasikika akisema ccm oyeee ccm oyeee .

Mnajengewa kituo cha afya cha sepuka alafu mchague mpinzani?? Alisikika jamaa akisema hivyo.

Badae nikastuka usingizin eeh kumbe kumbe kumekucha.
Hizi ndoto sijui vipi mbona zina fanana kidogo?
Maana na mie nimeota eti baada ya wagombea kutoka vyama vingine kugomewa kuwa hawana sifa basi wapiga kura kutoka Ikungi, Puma, Ng'ongosoro na Kipumbuiko wakavamia usiku ofisi ya Hamashauri na kuichoma moto na kituo cha polisi nacho kikateketezwa.
Ndio nikashtuka kuwa naota. Tatizo langu ni kuwa ndoto zangu nyingi zinatimia. Hivyo natoa onyo wasifanye uonevu yakatokea hayo.
 
Wakuu habari zenyu?

Leo usiku nikiwa nimelala nikajikuta naota kuwa mgombea ubunge kwenye jimbo la TL kupitia chadema kapigwa chini na tume baada ya kuambiwa kakoswa sifa za kugombea, mara nikaona mgombea anasema kuwa tutaenda mahakamani ili haki ipatikane, haiwezekani mtu nimejaza form zote alafu niambiwe Sina sifa.

Badae nikaona mkurugenzi wa halmashauri ya ikungi bwana kijazi akimtangaza mgombea kupitia chama changu cha ccm kuwa kashinda kwa kishindo.

Kisha nikaona mgombea wa mlengo wa kushoto anaelekea kwa sangoma eti kupigiwa ramli kujua kama ni kweli kakoswa sifa, sangoma akamwmbia wewe hata ungekuwa na sifa zote usingeshinda hata ukatambikie mizimu ya kwenyu.

Jamaa akiwa anarudi toka kwa sangoma akasikika akisema ccm oyeee ccm oyeee .

Mnajengewa kituo cha afya cha sepuka alafu mchague mpinzani?? Alisikika jamaa akisema hivyo.

Badae nikastuka usingizin eeh kumbe kumbe kumekucha.
Sepuka ipo singida mashariki???
 
We huoni tu shetani alivyoitisha uchaguzi haraka sana kinyume na katiba ,si ujue kuna malengo kayapanga .
 
Wagombea wa ubunge kupitia ccm ktk jimbo la Singida Mashariki wana roho ngumu sana.

Ccm oyeee!
 
Cdm haitasimamisha mgombea, kusimamisha mgombea ni kukubali kuwa TL kafutwa kiharali
 
Back
Top Bottom