Nimeota ninakunywa bia, ila mimi sinywi bia. Nini maana yake?

Unakumbushwa na mamlaka kuwa uache ujinga uanze kugonga kilaji.we mwenzetu starehe yako nini😂😂😂 #officialokozuna#officialk-vant🍺🍺🍺🍻🍻🍾
 
Jihadhari isijekua ni maandalizi kuelekea kuwa chapombe ukifidia miaka yote ambayo ulikua hutumii , kuwa na msimamo epuka vishawishi Vya kuanza kutumia pombe.
 
Kwa mujibu wa mafundisho ya Mwl. Mwakasege, ukipewa chakula ndotoni na ukala; unakuwa umeingia katika agano fulani baya katika ulimwengu wa Roho, pia kulala na mwanamke/ mwanamume ndotoni nayo inaashiria mahusiano ya Kimajini na roho wachafu,Hivyo fanya SALA kwa mujibu wa DINI yako
 
*UNAPEWA TAARIFA KTK ULIMWENGU WA ROHO KWAMBA KUNA ROHO YA ULEVI INAANDALIWA JUU YAKO SASA UKIPATA TAARIFA HII MAANA YAKE PAMBANA KWENYE MAOMBI ILI UEPUKANE NA HIYO ROHO, UKILEGEA KWENY MAOMBI BAS HYO ROHO ITAKUVAA, WAPE WATU UNAOWAAMIN KIROHO HYO NDOTO WAIOMBEE, NA WEWE SIJUI IMANI YAKO LKN UNATAKIWA UANZE KUTENGA MUDA SPECIAL KWA AJILI YA KUOMBEA HYO NDOTO*

UNA BAHATI SANA KUPEWA SAUTI HYO, WENGINE HUWA WANAOTA LKN WANASAHAU AMA HAWAELEW KABISA KINACHOENDELEA.

NA UKIONA NDOTO INAKUJA ZAID YA MARA MOJA, MAANA YAKE UNASISITIZWA NA ULIMWENGU WA KIROHO KUISHUGHULIKIA MAPEMA IWEZEKANAVYO, OTHERWISE UNAINGIZWA KWENYE MAISHA MABAYA AMBAYO YATAKUTESA.

TAFUTA KITABU CHA MWAKASEGE CHENYE SOMO LA NDOTO, UTASIKIA AMANI SANA, TOLEO LA 1,2,3+ NI NDOTO TU UKISOMA VIZUR UKAELEWA NA BIBLIA TAKATIFU JUU YA MISTARI YA NDOTO, UTAKUWA IMARA SANA KTK SAUTI NDANI YA NDOTO.

WATU WENGI WANAPATA SHIDA LKN ZINAANZIA KWENYE NDOTO, HAWAJUI NIN MAANA YA NDOTO, WANAHANGAIKA HOSPITAL NENDA RUDI, LKN NI KITJ AMBACHO WANAPATA KUPITIA NDOTO.

AM TELLING YOU CHINI YA JUA HAKUNA KITJ KINATOKEA KABLA HUJASIKIA SAUTI KUTOKA KTK ULIMWENGU WA KIROHO, IWE KWA NJIA YA NDOTO AU KWA NJIA YA KUTUMIKA MTU AMA KITU CHOCHOTE, ISSUR NI KUFAHAM NINI MAANA YA HZO SAUTI.

MUNGU AWASAIDIE NA KUELEWA.
 
Kuna Babu zako walikuwa Wanywaji sasa wanateseka kwa Kiu ilihali koo lako ndio njia pekee ya suruhisho la Kiu yao....
Anza kunywa wazee wakifurahi nawe utatusua.
Kwa ushaur huo utampoteza siku c nyingi....hayo ni matambiko, hzo nazo ni roho zingine zinazotesa wanadamu wakati huu. Ila watu wanajitia ukipofu, matambiko kila siku makazin tunaona yanavotesa watu....Binadamu kama huna elimu ya ulimwengu wa kiroho, basi tumia jicho na akili tu kuona inatosha.
 
Ndoto hiyo umeota kwa sababu kichwani mwako na mawazoni mwako unaichukia sana pombe kiasi cha kwamba hupati picha itawezekanaje itokee unywe pombe haswa ukizingatia ladha yake mbaya labda na athari zake.

Kwa hiyo mawazo hayo ya namna unavyochukia ndo yamekuja usiku kama ndoto ya mtindo huo, ila haina maana yoyote ile ama kuashiria jambo baya maishani mwako.

Zaidi sana we kumbuka tu kuwa ndoto ni matokeo ya mawazo yetu ya mchana.
Mwishoni hapo.....ni maana moja ya ndoto, na ushaur wako umejikita In a physical world, Ukipata tena kaelimu ka Spiritual world urudi kutuwekea hapa tena comrade.
 
Kwa mujibu wa mafundisho ya Mwl. Mwakasege, ukipewa chakula ndotoni na ukala; unakuwa umeingia katika agano fulani baya katika ulimwengu wa Roho, pia kulala na mwanamke/ mwanamume ndotoni nayo inaashiria mahusiano ya Kimajini na roho wachafu,Hivyo fanya SALA kwa mujibu wa DINI yako
Perfect that.
 
Acha uoga ... maswala ya kutafsiri ndoto makuhani wa zamani ndo ilikuwa kazi yao sasa hivi hakuna mitume wala manabii tunatumia sayansi zaidi kwahiyo aliyepost namba 10 ndiye aliyekupa jibu sahihi
 
Back
Top Bottom