Nimeota nimepanda juu Mlimani na nilipofika huko nikaona ni ushenzi sana kurudi chini

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,895
25,944
Amani iwe nanyi wakuu

Naomba kutafasiliwa maana ya ndoto hii

Leo nimeota nimepanda juu kabisa mlimani

Lakini baada ya kufika juu mlimani niliona tena kuna milima mingine ya juu zaid na zaid japo nami nilikuwa juu sana kwenye mlima mwingine

Lakini nikaona ni ushenzi sana kurud chini yaani nikatamani nibaki huko huko na nikatamani nipande tena na ile milima mingine ya juu zaidi

Na mpaka ndoto inaisha sikurudi chini na moyo wangu uliendelea kutaman nibaki huko huko juu mlimani

Je, ni nini maana ya ndoto hii

LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hiyo ndoto tu haijatimia kuwa ya kweli usijali, ungeota uko maliwatoni nadhani ingetimia na kuwa ya kweli, sijui kama ungeleta Uzi humu
 
Hapo nguvu zako za kiume ni za wastani so itafikia kipindi unataman kurudia cha pili lkn hutaweza so nicheki mapema nikuuzie dawa kabla tatizo halijawa kubwa
 
Siku zako za kuishi zinahesabika . Unaenda mbinguni hivi karibuni
Amani iwe nanyi wakuu

Naomba kutafasiliwa maana ya ndoto hii

Leo nimeota nimepanda juu kabisa mlimani

Lakini baada ya kufika juu mlimani niliona tena kuna milima mingine ya juu zaid na zaid japo nami nilikuwa juu sana kwenye mlima mwingine

Lakini nikaona ni ushenzi sana kurud chini yaani nikatamani nibaki huko huko na nikatamani nipande tena na ile milima mingine ya juu zaidi

Na mpaka ndoto inaisha sikurudi chini na moyo wangu uliendelea kutaman nibaki huko huko juu mlimani

Je, ni nini maana ya ndoto hii

LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wenge tu la January. Ikipita akili yako itakaa sawa.. usjali dogolasi
 
Ndoto ya hivyo tafsiri ya kweli ni ya kawaida tu. Inamaanisha unakua. Pale ulipokuwa unaota hiyo ndoto,kuna ongezeko la kukua kifkra,kuongezeka urefu. Kiujumla ni kukua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom