Nimeota nimekatwa miguu nikawekewa ya bandia, naombeni ufafanuzi

baharia 1

JF-Expert Member
Sep 13, 2019
1,255
1,268
Habar wakuu,

Leo nimeota nipo sehemu nimekaa ghafla viungo vyangu vikashika ganzi nikadondoka chini nikapoteza fahamu nakuja kushtuka nimekatwa miguu yangu yote miwili nimeekewa miguu yabandia, lakini hailunishtua sana hiyo hali nikawa nafurahia tuuh natembea vizuri nakimbia vzr, naombeni mwenye kujua ufafanuzi tafadhali.

download%20(6).jpg
 
Mkuu ndoto huwa Zina maana Pana Sana,Kwanza ungesema Hali yako kiuchumi ikoje,katika kuota ndoto hii imejitahidi kuonesha Hali au namna ulivyojisikia,ok fine,ndoto yako Haina maana mbaya ni mafanikio yanayoweza kukujia baadae,lakini ili kujua maana dhahiri ulipaswa useme wewe ni mtu unayejishughulisha na shughuli gani na pia Hari yako kiuchumi ikoje
 
Ikiwa mtu ameota anamiliki miguu ambayo si ya kwake na hiyo miguu ikawa mizuri/ameifurahia kuliko ya kwake tasfiri yake ni kwamba ataaminika na kutumia knowledge/ mtaji au chochote cha mtu au watu kuendeshea biashara au kazi zake ambapo itamfanya apige hatua moja ukicompare na alipo sasa.
 
Me nikijana wamiaka 22 Hali yakiuchumi niyakawaida tuuh nafanya biashara inaniingizia kwasiku sio chini 50,000 nakuendelea, nazani umenipata hapo
 
Asante mkuu, inaaman nitapiga hatua kiuchumi
 
Kukatwa miguu kuwekewa ya bandia sio kitu kizuri, huwez katwa kitu chako ukawekewa ya bandia. Miguu yako imeenda wapi? Nani amepewa?

Mafanikio yako yamebarishwa, unapewa hatua fake we unahis ya kwako lakini sio ya kwako.

Kwa miguu unamiliki, Sasa ukipewa ya bandia unamilik vipi?
Jiombee, omba Toba halafu mwambie Mungu akupiganie miguu yako ilipo pelekwa irudishwe.

Nyie mnao puuzia ndoto mna hal mbaya Sana hata Kama hamsem, ndoto Iwe unaijua maana huijui maana yakupasa uombe
 
Asante sana, hapo maana nshafanyiwa mchezo mchafu ?
 
Me nikijana wamiaka 22 Hali yakiuchumi niyakawaida tuuh nafanya biashara inaniingizia kwasiku sio chini 50,000 nakuendelea, nazani umenipata hapo
Washajua una nyota ya maisha,kemea mkuu....wanabeba mafanikio yako uliyotumia jasho lako utabaki unaangaika na maisha coz watakupa ufukara ambao si uhalisia wako,uhalisia wako ni mafanikio bro
 
dooh Asante sana, sasa me ntaanzia wapi ?
 
Mwanzo 13
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹⁶ Na uzao wako nitaufanya uwe kama mavumbi ya nchi; hata mtu akiweza kuyahesabu mavumbi ya nchi, uzao wako nao utahesabika.
¹⁷ Ondoka, ukatembee katika nchi hii katika mapana yake, na marefu yake, maana nitakupa wewe nchi hiyo.*

🚶🚶
Umeona hiyo Mungu amemwambia akatembee, sio kutembea kawa kawaida, Bali akiwa anatembea anaachilia nguvu ktk miguu yake na kuimiliki hilo eneo, atembee kwa mapana na marefu Ina maana apite ktk mipaka yote.

Umewaza Ibrahim angekuwa hana miguu angemiliki vipi.

Miguu yako ya kiroho inatakiwa hapo. Miguu yako ya kiroho inabid iwe na nguvu Sasa umepewa bandia, Nan kakata Miguu yako? ?

Omba Toba Kwanza kwa kilichofanya miguu yako ikatwe cz Kuna uovu hata Kama huujui.
Chapili achilia damu ya Yesu ktk miguu yako ktk miguu, ikupiganie uombe kwa kumaanisha
Mungu atakujibu, umuombe Mungu akuonyeshe Kama miguu imerudi uote Tena, atakuonyesha
 
sawa mkuu lakini Mimi sio muumini mzuri sasa nawaza itakuwa vp
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom