Nimeota ndoto ya ajabu sana leo jioni

Basi punguza kumuwaza, kumbuka ndoto ni matokeo ya fikra zetu
Labda mkuu.. kuhusu kumuwaza ni mara chache ana cross my mind..mara nying huwa namuwaza huyo x wangu mwungne ambae nilimpendaga kisawasawa..yaan huyo ndo nilijifunzia mapenz...baada ya hausgeli kunibikiri .aliyefata ambae ndo first love ndo huyo sasa..huyo tumeachana toka 2012 ila had leo tunawasiliana karib kila siku. Tumetengwa na mabara tu. Ila tunapendana sana na huyo dada .(actuly..nijipakulie minyama)...mim ndo nilimbikiri...
 
Japokuwa hutaki kukubali, ila ukweli ni kwamba ulimpenda sana, haijalishi mlianzaje, mbaya zaidi ye amemove on we bado unaishi nae moyoni
Kumpenda lazima mkuu. Huwez kuwa na mtu usiempenda....ila yeye ndo alinipenda zaid na kupelekea mim kumpenda yeye pia sabab ya upendo wake kwangu
 
Kumpenda lazima mkuu. Huwez kuwa na mtu usiempenda....ila yeye ndo alinipenda zaid na kupelekea mim kumpenda yeye pia sabab ya upendo wake kwangu
Hili swala la kwamba yeye ndio alikupenda zaidi unanikumbusha mwanamuziki fulani wa bongo fleva, aliwahi kusema ye alimpenda ex wake ila huyo ex ndio alimpenda zaidi wakati matendo yake yote yapo kinyume na maelezo yake hayo, tukianzia the way anavyomtreat ex huyo compared tu maex zake wengine ambao pia amezaa nao
 
Ndoto ni tafsiri ya vitu vinavyokusumbua au kukufurahisha, vitu ungependa kuwa navyo, kuvifikia,au kuviepuka. Pia ni kumbukumbu ya mambo yaliyopita. Kuhusu yajayo waachie wa kina Eliya, Musa na manabii wengine

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom