Nimeota ndoto,kuna kiongozi mkubwa atafariki!

mimi ni muota ndoto za kweli,nimeota kuna mkuu amefariki dunia hapa tanzania,naomba iandike kwenye diary yako!

nini faida ya kuandika kwenye dayari yangu! nadhani unataka kujitangaza nabii au sio?
 
Tusidharau kila kitu jamani.

kuna wakati walisema wameota kiongozi mkubwa atakufa, ndo mwakyembe
akaponea chupu chupu.

Mimi naomba uniambie imekaaje hiyo. maana wengine huwa mnajua kila kitu
lakini mnakuja hapa jf kwa njia ya kusema mmeota.
 
Serikali in wagonjwa wengi sasa hivi kwa huenda ni kweli kuna mmoja katutoka. Kufaa kufaana kams ni wa magamba basi jimbo ni la magwanda. Kufaa kufaana. Ruzuku hiyooooooo!
 
Hizo habari za UDAKU peleka Issa Michuzi au Magazeti ya UDAKU.

Ndugu mimi naamini kama kweli kaota ni kweli jambo hili litatokea kwa maana ndoto ni bayana hata Biblia inasema hivyo ukisoma kitabu cha Daniel sura ya 2 inaongelea ndoto amboazo zilitokea pia Yusufu aliota jambo likatokea na hata dunia yote inaamini hivyo leo.
 
mimi ni muota ndoto za kweli,nimeota kuna mkuu amefariki dunia hapa tanzania,naomba iandike kwenye diary yako!
Tahadhari topthinker, hiyo ni hatari! Nakukumbusha tu kuwa Sheikh Yahya Hussein aliwahi kuota ndoto kama hii yako na sasa ni marehemu!
 
mimi ni muota ndoto za kweli,nimeota kuna mkuu amefariki dunia hapa tanzania,naomba iandike kwenye diary yako!

Sijajua kama tunaongozwa na ndoto.
Ila ngoja niashumu kuwa tunaongozwa na ndoto.
Haya tuambie jina la marehemu.
 
Mungu Pekee ndie anajua lini anaondoa pumzi ya mwanadamu amtakaye ..
Iweje wewe Topthinker ?
 
Ndugu mimi naamini kama kweli kaota ni kweli jambo hili litatokea kwa maana ndoto ni bayana hata Biblia inasema hivyo ukisoma kitabu cha Daniel sura ya 2 inaongelea ndoto amboazo zilitokea pia Yusufu aliota jambo likatokea na hata dunia yote inaamini hivyo leo.

ahsante kwa neno dr.!
 
Tuambie ndoto uliyoota na ikatimia, usije kuwa unatuletea upuuziupuuzi wako tu humu na ndoto zako za kufikirika. Umepiga zako serengeti tano na vodka kumi hlf unaota. Hebu ona uzi wenyewe umeuleta saa ngapi?
 
[h=2]Wadau...hii thread haiwezi kuwa inatabiri kiaina kuhusiana na hii thread nyingine inayoendelea jamvini hapa inayoonyeshwa chini? ...La sivyo, hawa jamaa wa Chama cha 'Mazingira' au 'Kijani' wana kila dalili za kumpoteza mkuu wao, hajajulikana nani, tusikilizie...

icon1.png
Lowassa hoi, yupo matibabu Ujerumani anaumwa stroke[/h] Kuna tetesi kuwa Mbunge wa Monduli CCM, Edward Ngoyai Lowassa anaumwa sana na amepelekwa matibabu Ujerumani, Mwenye taarifa sahihi atujuze............ nawasilisha.
 
LOL

Hii topic imetolewa siasa imeletwa chit-chat.

Hongera Mods mnafanya kazi nzuri
 
Tusidharau kila kitu jamani.

kuna wakati walisema wameota kiongozi mkubwa atakufa, ndo mwakyembe
akaponea chupu chupu.

Mimi naomba uniambie imekaaje hiyo. maana wengine huwa mnajua kila kitu
lakini mnakuja hapa jf kwa njia ya kusema mmeota
.
Pointi....
 
Back
Top Bottom