Nimeota ndoto,kuna kiongozi mkubwa atafariki! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimeota ndoto,kuna kiongozi mkubwa atafariki!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by rosemarie, Mar 5, 2012.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Mar 5, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  mimi ni muota ndoto za kweli,nimeota kuna mkuu amefariki dunia hapa tanzania,naomba iandike kwenye diary yako!
   
 2. PPM

  PPM JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 839
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hizo habari za UDAKU peleka Issa Michuzi au Magazeti ya UDAKU.
   
 3. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #3
  Mar 5, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,690
  Trophy Points: 280
  Nadhani atakuwa Mwenyekiti wa chama taifa....
   
 4. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #4
  Mar 5, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  utakufa wewe , Hata Shehe Yahaya ilikuwa hivyohivyo.
   
 5. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #5
  Mar 5, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hahaaaaaaaaa..... atakuwa sio yule anayeumwa kujikuna yule...
   
 6. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #6
  Mar 5, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Watanzania jitahidini sana kusoma kitu na kufikiri kabla ya kujibu,naomba andika hii kwenye diary yako nitarudi tena
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Viongozi wa serikali wapo wengi ebu specify kwanza ni wa local gov au central gov? Mjumbe wa nyumba kumi? Katibu,mwenyekiti wa mtaa? Mtendaji wa mtaa? Diwani,meya,mkuu wa wilaya? RC? Wapo wengi ebu specify bwana
   
 8. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #8
  Mar 5, 2012
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  kila mtu dunia hii atakufa.

  tuweke kwenye diary iweje na wewe hujaleta habari kamili?
   
 9. mtemiwaWandamba

  mtemiwaWandamba JF-Expert Member

  #9
  Mar 5, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 536
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  Hongera mkuu. Kazi uliyotumwa umeimaliza.
  Lakini!! Hala hala Mti na Macho.
   
 10. mtemiwaWandamba

  mtemiwaWandamba JF-Expert Member

  #10
  Mar 5, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 536
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  Tulitoka Udongoni na Udongoni tutarudi.
   
 11. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #11
  Mar 5, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,906
  Likes Received: 2,336
  Trophy Points: 280
  Hapana mzee siyo yule , bali yule aliyeenda ujerumani!!!
   
 12. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #12
  Mar 5, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Ni nani?? Au hukumuona katika ndoto yako??
   
 13. Wkaijage

  Wkaijage Senior Member

  #13
  Mar 5, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mh!
  Kafanikiwa siyo...!
   
 14. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #14
  Mar 5, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  kuna mmoja nasikia yuko jerumani
   
 15. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #15
  Mar 5, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Nani tena!!!
   
 16. Salas

  Salas JF-Expert Member

  #16
  Mar 5, 2012
  Joined: Feb 15, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Me nimeota kuwa wewe leo ifikapo saa mbili usiku utakuwa umejamba mara tano
   
 17. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #17
  Mar 5, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Wala sitashangaa. Maana uwepo wake unahatarisha sana usalama wa nchi. Unamfanya Kikwete aongoze nchi kwa shida sana. Si ajabu usalama wa CCM wameshamshughulikia. Hata hivyo hizi zaweza kuwa ni fikira binafsi tu za mleta maada, ambazo zinaweza kuwa kweli kwa kuwa kila mwaka viongozi wanakufa. kwa hiyo hata mwaka huu anaweza kufa yoyote.
   
 18. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #18
  Mar 5, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Nimeota umepata ban - andika kwenye diary yako!
   
 19. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #19
  Mar 5, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Mheshimiwa wa Mamvi
   
 20. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #20
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Duuuuh yetu macho.
   
Loading...