Nimeota ndoto kama Martin Luther King

Idd Ninga

JF-Expert Member
Nov 18, 2012
5,136
4,292
Eti mwaka 2020 katika uchaguzi mkuu vitambulisho vya NIDA vitatumika katika kupigia kura,wapiga kura watakua wengi mno,na ushindi wa kishindo utatokea.
Hizi ndoto jamani,sijui kwanini imenirudia wiki nzima

Mara paaap na huu uzi umeunganishwa,wakati ndi ndoto za uchaguzi,Jf bhana,.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom