Nimeota nakabidhiwa maiti ya mtoto

Huna sababu ya kuwa na hofu kisa ndoto...
Hiyo ni ndoto tu..ni mambo yanayotokea nyuka ya pazia haihusian lolote..
Sasa ukiambiwa mwanao atakufa kwahiyo ufanyaje? Umzuie izrail asijekuchukua roho ya mwanao? Au uanze kuandaa jeneza?
Ukiota umeota..amka endelea na mishe zako..ndoto ni ndoto tu..
 
Wana jamii habari,poleni na mahangaiko ya dunia,

Ndugu zangu Kuna ndoto nimeota inanifikirisha sana, na niliweweseka mpaka waubavu akaniamsha, nikiwa ndotoni Kuna mtu alinikabidhi maiti ya mtoto lakini kabla ya kuichukua nikalalamika kukataa na kuishiwa nguvu bila kuichukua, ndoto Kama hizi humaanisha nini,au nikawaida nichukulie Kama ndoto tu?

Asanteni wakuu,naomba tupeane uzoefu na hivi vitu.
Wee ulikuwa unaokota matunda bhana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom