Nimeota nakabidhiwa maiti ya mtoto

muokotamatunda

JF-Expert Member
Apr 2, 2016
1,578
1,142
Wana jamii habari,poleni na mahangaiko ya dunia,

Ndugu zangu Kuna ndoto nimeota inanifikirisha sana, na niliweweseka mpaka waubavu akaniamsha, nikiwa ndotoni Kuna mtu alinikabidhi maiti ya mtoto lakini kabla ya kuichukua nikalalamika kukataa na kuishiwa nguvu bila kuichukua, ndoto Kama hizi humaanisha nini,au nikawaida nichukulie Kama ndoto tu?

Asanteni wakuu,naomba tupeane uzoefu na hivi vitu.
 
Roho ya mwanadamu yeyote ina forecast. Hapa pa kuona ya mbele ndipo kuna utofauti kutoka mtu mmoja hadi mwingine.
Hilo jambo liko mbele zako, sasa ni namna gani na ni wapi litatokea hilo ndilo fumbo.
But for spiritual man can resist such thing to happen in his /her way
 
nashukuru kwa ufafanuzi huo mkuu.
 
ndoto ni ujinga ujinga tu usio na maana yoyote ile nitakuja kuamini ndoto fulani ina maana iwapo nitaiota vile vile kwa kujirudia, yani mfano leo then kesho na kesho kutwa nikiote kitu kile kile kwaa mpangalio ule ule. vinginevyo ndoto ni pumba tu za yale matukio ambayo umewahi kuyaexperience katika maisha yako
 
Kwangu mimi maiti ya mtoto inamaana nyingi, angalia pia ni jambo gani umelianzisha hivi punde linaweza kuja kufa kweli, kemea roho ya mauti juu ya jambo hilo kwa msisitizo utafanikiwa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom