Nimeota leo Simba anafungwa na Azam kombe la Mapinduzi

Aiseee jamani wana simba leo naona kabisa tunafungwa leo na azam jana kuna ndoto nimeiota aisee nimeota naona vilio vimetawala msimbazi naona kocha pablo yupo airport amepanda ndege amefukuzwa naona leo chama yupo jukwanii amevaa jezi za yanga akiwapungia mkono mashabiki wa simba nimeota pia goli la azam litafungwa kwa makosa ya beki za za simba, nimeota pape sakho ataumia kipindi cha kwanza atatolewa nje nimeona leo game ya leo azam japo anashinda goli 2 kwa bila nimeoneshwa goli la pili la azam litafungwa kiutatauta sana,
Nimeonyeshwa mchezo wa leo utakuwa na vurugu kubwa mnoo tena mnoo
Wewe c ulileta mada juzi kati kuwa UMEOTA SIMBA anafungwa na NAMUNGO?

Kwa hiyo ww kazi yako ni kuota tu

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Aiseee jamani wana simba leo naona kabisa tunafungwa leo na azam jana kuna ndoto nimeiota aisee nimeota naona vilio vimetawala msimbazi naona kocha pablo yupo airport amepanda ndege amefukuzwa naona leo chama yupo jukwanii amevaa jezi za yanga akiwapungia mkono mashabiki wa simba nimeota pia goli la azam litafungwa kwa makosa ya beki za za simba, nimeota pape sakho ataumia kipindi cha kwanza atatolewa nje nimeona leo game ya leo azam japo anashinda goli 2 kwa bila nimeoneshwa goli la pili la azam litafungwa kiutatauta sana,
Nimeonyeshwa mchezo wa leo utakuwa na vurugu kubwa mnoo tena mnoo
Bado ndoto yako haijabadilika

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom