Nimeonja joto ya lami kutoka kwa mwanausalama barabarani

NZURI PESA

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
5,958
2,951
Leo nikiwa katika gari ndogo ya rafiki yangu tukitoka shamba maeneo yakisasa mida ya saa 5.27 asb tulisimamishwa na na ubu huyo basi tumewekwa hapo kwa zaidi ya masaa 3 kisa triangle mbovu.baadaye tumeruhusiwa ila tukanunue nyingine mpya!
 
Pole kwa kusomeshwa namba lkn next time Tembea na triangle

Ova
 
Leo nikiwa katika gari ndogo ya rafiki yangu tukitoka shamba maeneo yakisasa mida ya saa 5.27 asb tulisimamishwa na na ubu huyo basi tumewekwa hapo kwa zaidi ya masaa 3 kisa triangle mbovu.baadaye tumeruhusiwa ila tukanunue nyingine mpya!
Malizia stori, masaa matatu mnafanya nini?
 
Leo nikiwa katika gari ndogo ya rafiki yangu tukitoka shamba maeneo yakisasa mida ya saa 5.27 asb tulisimamishwa na na ubu huyo basi tumewekwa hapo kwa zaidi ya masaa 3 kisa triangle mbovu.baadaye tumeruhusiwa ila tukanunue nyingine mpya!
Poleni sana kwanini mlishindwa kumpa ya kubrashia viatu??????????
 
Triangle ni 9,000.nunua pia fire extinguisher ya sh. 20,000. Huku Dom kwa siku utasimamishwa njiani zaidi ya mara 10. Pia uwe na sticker ya wiki ya nenda kwa usalama vinginevyo utajuta kuwa na gari.
mkuu vyote vilikuwepo isipo kuwa triangle ndo ilikuwa imevunjika ncha
 
Back
Top Bottom