Nimeona ujumbe unaodhaniwa ni wa Balozi wa Uturuki dhidi ya shule za Feza; Naomba Serikali iwe makini na mgogoro huu, wafuate taratibu

Sijakuelewa mkuu
Yule balozi anasema shule ya Feza inafadhiliwa na magaidi.

Hao magaidi anaowasema ni wapinzani wa kisiasa wa serikali ya Uturuki.

Anachosema balozi ni sawa na baadhi ya watu wa CCM wanavyosema Mbowe ni gaidi.

Ni madai ya kisiasa ambayo hayana ushahidi wa fact.
 
Back
Top Bottom